Nimekamilisha kila k2 kilichobaki ni kuchek mzgo wa kununua. Ila linapofka suala la kusubiria mzgo kwa njia ya posta hapo ndo kchwa knauma
Usiogope jaribu kuthubutu. Kwani hujawahi kutumiwa paseli yoyote kwa njia ya Posta ukaipokea salama?
Mimi nina vitu vingi tuu kutoka ebay ambavyo vimenifikia kwa njia ya Posta kutoka US.
la muhimu tuu unapolipia hakikisha umevi- insure!
Ukinunu flash na headphone ghara kusafirishia ni kubwa kuliko bidhaa yenyewe; tumia ebay za karibu kuliko usa ni mbali sana
Simu nilienda kuchukua kwenye ofisi za FedEx
Ebay kufanya shipping bongo no.......mara nyingi ukipata muzaji anayeweza kuship bongo utakuta gharama ya ku ship ni mara mbili ya bei uliyonunulia coz wao huwa wanawatumia DHL, UPS au Fedex na mara nyingi wanaofanya International shippng ni wauzaji wa Asia (Hong Kong au China).
Alafu Ebay ni mtandao ambao unawakutanisha buyers and seller na kuwaweka wote on safe Side
Ebay kufanya shipping bongo no.......mara nyingi ukipata muzaji anayeweza kuship bongo utakuta gharama ya ku ship ni mara mbili ya bei uliyonunulia coz wao huwa wanawatumia DHL, UPS au Fedex na mara nyingi wanaofanya International shippng ni wauzaji wa Asia (Hong Kong au China).
Alafu Ebay ni mtandao ambao unawakutanisha buyers and seller na kuwaweka wote on safe Side
me baada ya kupata maelezo kdogo ya hii ebay apa jf nikaamua kuingia kwenye web yao na nkakuta vtu bei cheap sana hasa.malaptops sasa knachonchanganya n kuwa kla nkiclick buy wanaweka selection za nch na Tanzania haimo sasa apo inakaaje? en vp kuhusu paypal coz me nataka nkafungue a/c CRDB na naweza kutumia a/c yang ya TSHS kununua vtu online yaan i mean wafanye exchange wenyewe online?
Ukinunu flash na headphone ghara kusafirishia ni kubwa kuliko bidhaa yenyewe; tumia ebay za karibu kuliko usa ni mbali sana
What are the procedures maana mm mwenyewe nilikuwa nawaza nianze kuwazingua kwa email ili nione response yao
Mkuu wangu,
I THINK this's not ONE MAN WAR....na ndio maana nika-propose ku-file online petition. Wakiona response ni kubwa( yaani petition kuwa signed na watu wengi); hopeful wanaweza ku-work na mapupungufu yanayozuia Paypal; Tanzanian accounts kutokuwa na uwezo wa kuwa na fedha! Hebu pitia hapa chini moja ya jibu ambalo waliwahi kunipatia year 2011 wakati nilipotaka my Paypal account iwe na uwezo si tu wa kutuma; bali pia kupokea:
Hello NasDaz, my name is Aivie from PayPal Customer Service. I'm here to assist you with receiving funds to your PayPal account.
To comply with local laws and financial regulations, PayPal is currently unable to offer this option. On the bright side, were constantly working towards expanding our service to include this feature since it would be beneficial for both of us to offer this to you. We are doing our best to make this feature available in the near future.
When additional features are made available youll be the first to know. All updated information regarding country capabilities to send and receive funds is on our website. Check it out by visitinghttps://www.paypal.com and clicking Worldwide" at the bottom.
Thank you for your interest in PayPal, one of the safest ways to send money in the world.
Sincerely,
Aivie
PayPal, an eBay Company
So, ukiangalia hapo kwenye RED, utagundua ni kama panahitajika COLLECTIVE EFFORTS....it sounds as if mkono wa serikali unahitajika vilevile. What I mean ni kwamba; assume Ministry of Trade or any responsible ministry ikaja umuhimu wa watu kuangalia namna nyingine ya kufanya biashara; in particular hii ya kutumia mitandao kama Ebay; kumbe wao wanaweza kuwaandikia Paypal kuomba hiyo feature. Na kwavile ni direct request kutoka serikalini; am very convinced kwamba Paypal wanaweza kufanyia kazi kirahisi zaidi; by the way, hizo local laws and financial regulations wao watu wa serikalini ndio wahusika! Binafsi niliwahi kukutana na mshikaji mmoja wa serikalini; kwa bahati mbaya, pamoja na kwamba bado ana mawazo kale lakini vile vile hana influence ingawaje kikwazo nilichokiona kutoka kwake ni yale mawazo kale/perception. Lakini kama mtu unakutana na watu wenye mawazo ya kisasa kama akina Membe/Makamba/Lazaro, then ni very possible!! Hata hivyo, ikishindikana kupitia mgongo wa serikali, alternative ni hiyo ya ku-sign online petition ambayo I thinkk haiwezi kuwa as much effective way as through the government.
Sio Card ya CRDB pekee hata Visa au mastercard za baadhi ya Banks kwa mfano ukiwa na mastercard ya NBC unafungua account Paypay na unalipa kupitia mastercard yako hakuna haja hata ya kwenda Bank ukishalipa utaona debit entry imeingia kwenye account yako na baada ya mwezi utapigiwa simu na Posta kwenda kuchukua mzigo wako mimi nshaagiza mara nyingi na kupokea mizigo yangu yote.
Sio Card ya CRDB pekee hata Visa au mastercard za baadhi ya Banks kwa mfano ukiwa na mastercard ya NBC unafungua account Paypay na unalipa kupitia mastercard yako hakuna haja hata ya kwenda Bank ukishalipa utaona debit entry imeingia kwenye account yako na baada ya mwezi utapigiwa simu na Posta kwenda kuchukua mzigo wako mimi nshaagiza mara nyingi na kupokea mizigo yangu yote.
Unatumia benk gan?
kimekuja na posta, nilitumia slp ya mwanza, so nimekikuta mwanza home nilipofika.
pale jambo la muhimu ni kuangalia wauzaji, wapo ambao wanajulikana, pia angalia shipping bure au unalipia? maana kama shipping ni bure ujue itachukua wiki 3 mpaka 4, kama ni kulipia inachukua less than 7days inategemea wapi unaponunulia.
chief-mkwawa ningeweka picha ya box uone walivyoandika ila kuna jina langu halisi, ntakutumia kwa whatsapp.
cc DecisionMaker
nawashauri wale wenye Driving licences,Kadi za kura, au passport za kusafiri mwende Banc ABC nawakomalie kuwa unataka Cash Card watakupa siku hiyo hiyo na siku hiyo itakuwa linked Online
Hii inabidi iwe specila 4 online transaction maana matawi yao sioni kama ni emngi lkn pale kwa fire mbele k/koo wana Tawi ndo natumia
FAIDA YAO
Ukipewa Refund na PayPal siku 3 inakuwa ishaingia kwenye bank statement
Unlike CRDB ambao usipofuatilia mpaka 30days zipite
Pia wale wanafunzi nenda Tanzania Postal Bank wakupe VISA maana wana cheap account ya wanafunzi