Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
katika kufungua account ya paypal kuna vitu vinanichanganya kidogo. Kuna.....
1. Adress Line 1
2. Adress Line 2
3. Postal Code
Naombeni kujua hivyo vitu vikoje na tofauti yake iko vipi.
Umejaza ipi? S.l.p au?Postal Code search Google Za Tanzania lkn for Dar ni 11000
Adress mm nimejaza moja tu
Natamani sana kujua hii kitu ila cjui. A wala B naomba mwenye ujuzi naitaji laptop..
Hey guys, so i've just won this item in a bidding war. Nimekamilisha malipo and i'm now waiting for the LED Samurai watch to arrive. I will get back to give out feed back once i receive it.
kwa wageni kwenye ununuzi wa vitu Ebay, na wenyeji pia checkini hii video how to buy stuff na jinsi ya kushinda in Bidding wars. Jamaa wanaoelekeza wana sense of humor so wanatumia a Monkey who wants to buy a perfect Banana on Ebay kama Subject for their tutorial
<span style="color: rgb(255, 140, 0);"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms;"><em><strong>[video=youtube_share;zvuVjvgDrIk]http://youtu.be/zvuVjvgDrIk[/video]
Mkuu NingaR ni rahisi kujaribu mm nilianza na kitu cha bei chee nione ka ntatozwa ushuru na kama kitafika
Kilifika bila shida nakilinifikia mm maana,kilikuja,na jina langu na mm nkawaonesha ID yangu wakanipa
Kwani NingaR Hapo kwenye rangi kuna tofauti gani kubwa...almost ni kama tsh 20000 imezidi
Kimeo changu kimevunjika kioo sehemu ndogo nimekimbilia eBay nachek kioo ni 120$ nikajiuliza hapa bongo si ndo wata nambia 200k, Nafikiria kununua hawa posta wasije kunibambiza nikalia na 120$, VP kuhusu DHL shipment inakuaje??
Mkuu njunwa wamavoko hapo kwenye red naomba ufafanuzi kidogo ina maana wewe ndo ulienda posta kuchukua huyo mzigo kwa kutumia hiyo anuani ya chuo au chuo ndo walichukua huyo mzigo.
Mkuu uzuri wa eBay ni kuna vitu na wauzaji wengi so hata ushindani ni mkubwa sana sasa vioo vimeshuka mpaka 90$ ndani ya kipindi cha wiki 3 tu nasubiri mpaka vifike 70$ hapo hapo faster naagiza kuliko kununua hapa bongo maana wangeweza kunambia bei hata zadi ya 200k bila kusahu hapa naweza nisipate kabisaKwani NingaR Hapo kwenye rangi kuna tofauti gani kubwa...almost ni kama tsh 20000 imezidi
Mkuu Papizo bado huko kwetu Posta za Ki-Tanzania wizi wa vifurushi upo tu ? haujakwisha? njaa kitu kibaya sana jamani, kwa wale wanao hitaji vitu vya kununuwa toka nje wawasiliane na mimi kwa barua yangu ya pepe email yangu address hii hapa fewgoodman@hotmail.com nitaweza kuwasaidieni asanteniNaona watu wengi sana wapo behind sanaa na maswala haya ya online shopping ila pole pole tu mtafahamu,sema hiyo ebay inabidi kuitofautisha maana mkisema ebay basi mtaje na ebay ya sehemu gani??maana Europe yote kila nchi ina ebay yake, Ebay ya UK na Ebay ya US ni tofauti kabisa au Ebay ya France ni tofauti so mkizungumzia Ebay ni vizuri ku point Ebay ipi mnazungumzia...
Mfano kuna mdau mmoja amesema kwamba kuna ebay akifungua akicheck laptop katika zile nchi haionyeshi nchi ya Tanzania kama wana ship,yes ni kweli kabisaa Ebay ya UK ukicheck 99% seller wake huwa hawa ship africa kwa sababu mizigo inafika bila tatizo Tanzania ila inaibiwa kwenye postal zetu,so inabidi kuweka mambo sawa kila mtu afahamu....kuna maswali mengi yameulizwa ila naamini yamejibiwa na mkuu @C6.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mkuu Papizo bado huko kwetu Posta za Ki-Tanzania wizi wa vifurushi upo tu ? haujakwisha? njaa kitu kibaya sana jamani, kwa wale wanao hitaji vitu vya kununuwa toka nje wawasiliane na mimi kwa barua yangu ya pepe email yangu address hii hapa fewgoodman@hotmail.com nitaweza kuwasaidieni asanteni
Mkuu Jerrymsigwa Utakaponitumia pesa kitu unachokitaka nitakuchaji gharama yangu bora maelewano nitumie email na kuniambia kitu gani unataka na utakipata kipya sio cha zamani na kina Garranti yake unasemaje?Asante MziziMkavu, hutachaji gharama yoyote?
Mkuu Jerrymsigwa Utakaponitumia pesa kitu unachokitaka nitakuchaji gharama yangu bora maelewano nitumie email na kuniambia kitu gani unataka na utakipata kipya sio cha zamani na kina Garranti yake unasemaje?
Mkuu Jerrymsigwa Utakaponitumia pesa kitu unachokitaka nitakuchaji gharama yangu bora maelewano nitumie email na kuniambia kitu gani unataka na utakipata kipya sio cha zamani na kina Garranti yake unasemaje?
Ata mimi nimenunua simu jumapili iliyopita mchana (15/09/2013), na jana jumatatu (23/09/2013) nimepokea simu yangu kupitia kwa FedEx...