Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

It's your opinion, not a universal fact
 
Huo uovu na ukatili ni matokeo ya macho yako yanavyoona

Sisi wengine hatuoni kama ukatili bali ni asili jinsi ilivyo

Ndiyo maana kuna usiku na kuna mchana!

Mbona giza likiingia hupigi kelele kwanini mwanga umetoweka??
Vifo vya maelfu ya watoto wachanga wasio na hatia yeyote ile ni Asili sio?

Kwamba sio ukatili na uovu?

Hivi wewe unafikiri sawasawa kweli?
 
Attachments

  • Screenshot_20231020-132727.png
    686.5 KB · Views: 53
Ukizaliwa tu Mtoto wa Mwaka mmoja tayari unajua kusoma?
 
Vifo vya maelfu ya watoto wachanga wasio na hatia yeyote ile ni Asili sio?

Kwamba sio ukatili na uovu?

Hivi wewe unafikiri sawasawa kweli?
Watoto wachanga ndiyo wana haki sana kuliko ng'ombe na mbuzi unaokula kila siku?

Ni Mungu kaleta hao watoto wachanga au ni wewe mwenyewe na nyege zako zisizo na hesabu?
 
Watoto wachanga ndiyo wana haki sana kuliko ng'ombe na mbuzi unaokula kila siku?

Ni Mungu kaleta hao watoto wachanga au ni wewe mwenyewe na nyege zako zisizo na hesabu?
Hata wewe hukuletwa na huyo Mungu, ni nyege za baba yako na mama yako ndizo zilikuleta.
 
Ukizaliwa tu Mtoto wa Mwaka mmoja tayari unajua kusoma?
Sikuzaliwa najua kusoma, kwa sababu Mungu hayupo.

Mungu angekuwepo, angeweza kufanya nizaliwe najua kusoma.

Lakini, kwa sababu Mungu hayupo, imenibidi nijifunze kusoma.

Swali lako na jibu lake ni ushahidi kuwa Mungu hayupo.
 
Watoto wachanga ndiyo wana haki sana kuliko ng'ombe na mbuzi unaokula kila siku?

Ni Mungu kaleta hao watoto wachanga au ni wewe mwenyewe na nyege zako zisizo na hesabu?
Kwa hiyo mbele za Mungu watoto wachanga ni sawa tu na ng'ombe au mbuzi tunaokula kila siku?
 
Sikuzaliwa najua kusoma, kwa sababu Mungu hayupo.

Mungu angekuwepo, angeweza kufanya nizaliwe najua kusoma.

Lakini, kwa sababu Mungu hayupo, imenibidi nijifunze kusoma.

Swali lako na jibu lake ni ushahidi kuwa Mungu hayupo.
Pole Sana!
 
Kwa hiyo mbele za Mungu watoto wachanga ni sawa tu na ng'ombe au mbuzi tunaokula kila siku?
Iweje uone watoto wachanga wawe wana haki sana kuliko ng'ombe na mbuzi au kuku?
 
Pole Sana!
Ukishajiona unaishi katika ulimwengu ambao unakupa hisia za kumpa pole kiumbe mwingine, huo nao ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Ulimwengu ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, viumbe wake hawajui dhana nzima ya kumpa pole kiumbe mwingine.

Kwa sababu hakuna kitu chochote cha kutolea pole, kila kitu kiko sawa.

Ukweli kwamba unaona haja ya kunipa pole ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.
 
It's your opinion, not a universal fact!
 
Sasa wapi umesikia nimekufa au kuja kuomba msaada kwako??
Kuna sehemu umeombwa msaada?

Unaongea vitu out of topic.
Wazazi wangu walinizaa kwa hesabu na kunisaidia kufika hapa
Kwani ni wewe mwenyewe tu ulie zaliwa na wazazi na kufikishwa hapo ulipo?

Au unadhani uko mwenyewe dunia nzima uliyezaliwa na wazazi?

Kwani kuna binadamu anazaliwa na mnyama?
 
Unajua wewe ni mjinga sana.

Jaribu kuua mtoto binadamu na kifaranga cha kuku ndipo utajua kipi kina haki...
Hayo ni mambo ya juzi tu baada ya kuja dini na serikali

Hapo kabla watu walitembea uchi tu na Hakuna mtu alishtuka

Hiyo kuua mtu na kuona ni ajabu ni matokeo ya uwepo wa dini na serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…