Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Je unaamini kwamba wewe ni mfano wa Mungu?
Kwa nini ninachoamini kiwe muhimu ikiwa imani ni haki ya kila mtu, iwe ya ukweli au uongo?

Hata nikiamini kuwa mimi ndiye Mungu mwenyewe, kama hilo si ukweli, imani hiyo itakuwa na umuhimu gani?

Kwa nini unauliza kuhusu imani badala ya kuuliza kuhusu facts?

Kwa nini unashindwa kujiuliza kama Mungu yupo au hayupo, objectively, factualky, bila kujaki imani, naunajikita kwenye maswali yanayoangalia kama mimi naamini Mungu yupo au hayupo?
 
Nimekuuliza Swali dogo tu linahitaji maneno kadhaa tu kulijibu

Nimekuuliza JE UNAAMINI WEWE NI MFANO WA MUNGU?

Ulitakiwa ujibu NDIYO NAAMINI au HAPANA SIAMINI.

Lakini cha ajabu umeshusha paragraph 10 na hujajibu Swali la msingi

Nakutakia wakati mwema, mimi naelekea kupumzika huko mitaani na marafiki
 
Kwa nini swali la kuamini liwe muhimu katika kutafuta fact?
 
Ungenijibu tu kama ndiyo au Hapana

Kwa sasa ni Saa 17 : 47 nazima kila kitu naenda kupumzika

Kesho tena tukijaaliwa
Kwa nini nijibu swali ambalo halina msingi?

Ikiwa imani yangu haibadilishi ukweli, na hapa tunataka kutafuta ukweli, kwa nini unauliza maswali kuhusu imani yangu iko wapi badala ya kuuliza maswali kuhusu ukweli uko wapi?

Mimi nikiamini nimeumbwa kwa mfano wa Mungu, wakati Mungu hayupo, hiyo imani yangu itafanya Mungu awepo?
 
Mkuu unaishusha lini? Kuna jamaa washaanza kufanya hitimisho kwenye uzi wako tafadhari usitoke kwenye mstari.
 
Mbio zimekuokoa ndugu miti saba.
 
we bwana baada ya kuja wewe umefanya uzi wa mwana uonekane wa hovyo kiufupi umechafua khali ya hewa
Kuchafua au kutochafua hali ya hewa si hoja.

Inawezekana mlikuwa mmekaa karibu na choo mnavuta hewa chafu bila kujua tu, mimi nimekuja kuwaambia tu kwamba hapa kuna hewa chafu.

Sasa, mimi kuwaambia hii hewa chafu, mnaniita nachafua hali ya hewa.

Kitu cha muhimu ni, ukweli uko wapi?
 
Very logical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…