Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Ok Vizuri sana..
Nimeyaacha pembeni haya Twende kwa facts sasa..

Sasa Tazama vizuri.... Psalms/Tehillim 82:6


Au itaandikwa Hivi..

אֲנִי-אָמַרְתִּי, אֱלֹהִים אַתֶּם; וּבְנֵי עֶלְיוֹן כֻּלְּכֶם

Au Itatamkwa Hivi..

Ani amarti, Elohim atem; u'venei Elyon kulchem.

Tafsiri ya Neno kwa neno ni kama ifuatavyo..
  1. אֲנִי (Ani) - I "Mimi"
  2. אָמַרְתִּי (amarti) - said "Nasema"
  3. אֱלֹהִים (Elohim) - Mungu/Elohim
  4. אַתֶּם (atem) - you are (Ni ninyi)
  5. וּבְנֵי (u'venei) - and sons of "Na wana wa"
  6. עֶלְיוֹן (Elyon) - the Most High
  7. כֻּלְּכֶם (kulchem) - all of you

Hakuna tofauti ya Mungu na mungu katika maandishi ya Biblia mkuu..
Mungu ni Elohim na mungu ni Elohim

Karibu..
 
kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,,
Nini kusudi la kufanya yote haya!?pia ulijitahidi uamini kwelikweli ili mwishoni upate Nini!?

Mungu hajiainishi katika namna ya kibinafsi, kama malengo Yako yalikaa kibinafsi ni kazi kumuona Mungu, japo nirudie Tena japo wengi wetu tumenyimwa neema ya kumjua Mungu na wazazi wetu waliotuzaa, ie maagano ukiwa kichanga, ulivopatikana mimba na malezi
 
Soma makala hii
 
Soma na nyingine hii hapa
 
Mimi namuamini Mungu

Lakini natambua Dunia inazunguka jua
Nameza dawa endapo nkiumwa
Nafanya kazi nipate pesa,

Sasa point yako ni ipi hapo ?
 
Soma makala hii
Hakuna Jibu lilizungumzwa hapo mkuu!

Na wala halijajibu Zaburi/psalms/ Telihiim 82:6..

Zaidi ya Maelezo ya Mashahudi wa Yehova..
Neno Elohim (Mungu) Kwa kihebrania ndo hilo hilo hutumika watu kulitafsiri kama Miungu..

Umewahi kujiuliza kwanini..Neno moja liwe na Tafsiri tofauti kulingana na Matakwa ya Mtafsiri?

Neno hilo Hilo pia Linawakilisha Mungu..Au hufahamu Ndugu?
 
Mimi namuamini Mungu

Lakini natambua Dunia inazunguka jua
Nameza dawa endapo nkiumwa
Nafanya kazi nipate pesa,

Sasa point yako ni ipi hapo ?
Dunia Haizunguki Jua (Kwa mujibu wa Biblia)..
Dunia Iko Still Unmovable na fixed ila Jua ndo huzunguka Dunia..?
 
"Angalau kitu kinaweza kuwepo na kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika."



Pengine unafahamu/kuamini kuhusu mambo ya anga, kama ilivyo mimi tu

Je umewahi kuona galaxy zingine ? umewahi kuiona pluto ?
 
Nimekupa link nyingine inayoelezea Zaburi ya 82
 
Mungu kanipa ubongo, kanipa mikono, kanipa macho

Vingine naweza kujipa mwenyewe
Kwa nini kakupendelea wewe kakupa ubongo, mikono na macho?

Mbona wengine kawanyima?

Mbona wengine wanazaliwa bila mikono, wengine wanakuwa vipofu na wengine wanazaliwa mazezeta?

Mungu gani huyo mwenye ubaguzi?
 
Mimi namuamini Mungu

Lakini natambua Dunia inazunguka jua
Nameza dawa endapo nkiumwa
Nafanya kazi nipate pesa,

Sasa point yako ni ipi hapo ?
Point yangu ni kwamba, hiyo elimu imecheleweshwa sana kwa sababu ya imani ya dini na Mungu.

Galileo alifungwa kwa kuandika dunia inazunguka jua. Alifungwa na viongizi wa dini waliosema kuwa Galileo anapingana na Biblia.

Na kama imani ya dini na Mungu ilivyozuia maendeleo ya kisayansi miaka 500 iliyopita, bado inazuia maendeleo ya kisayansi mpaka leo.

Inawezekana wewe unajiona umeendelea kwa sababu unakunywa dawa na unaelewa dunia inazunguka jua, lakini, ukimuamini Mungu, epistemology yako si scientific. Ultimately jibu la maswali yako yote linarudi kwa Mungu. Wewe ni rahisi kudanganywa kwa logical fallacy ya argument from authority ya "Mungu kasema hivi" kuliko mtu asiyeamini Mungu.

Epistemology za dini na sayansi ni tofauti. Sayansi inasema kwamba tunaweza kuusoma ulimwengu na kuuelewa kwa kutumia akili/reason. Dini inatuambia tunaweza kujua ukweli wa miujiza tu, kwa neema ya Mungu, tufuate maneno ya Mungu tu, bila kutumia reason wala observation tunaweza kufunuliwa na Mungu tu.

Epistemology ya kidini inadumaza maendeleo.
 
Nime kupata mkuu... Kwanza kabisa inatakiwa tujue maana ya miungu Ni nini? ukija kwa mtu mmoja mmoja inamaana tutamuita mungu. Ila kwa kuwa MUNGU yupo mmoja tu hatuta pata wingi wa neno MUNGU hivyo MUNGU atabaki kua MUNGU na hawa miungu wengine ndio tunapata neno mungu nadhani hata mantiki ya walioamua kutenganisha kati ya MUNGU MKUU na miungu wengine katika uandishi kwa kuzingatia herufi kubwa na ndogo walizingatia msingi huu.

Hivyo basi huyu bwana Miti7 anaweza kua sahihi kama tukikubaliana katika maana ya neno miungu.

Kwa Kigezo kwamba MUNGU ametuumba kwa mfano wake inamaana sisi ni miungu ila hatujaufikia uwezo wa MUNGU wetu mkuu tuliefanana naye... uungu wetu una mipaka.

Kwa maoni yangu wala si kwakunukuu popote ninadhani binadamu tumefanana na MUNGU Katika tabaka la kiroho kati ya yale matabaka matatu ambayo ni mwili nafsi na roho.

Na katika tabaka hilo la kiroho ambalo tumefanana na MUNGU ndipo binadamu anaweza kufanya mambo yaliyo nje ya upeo ufahamu wake(kimwili) kwasababu huku kuna infinity Intelligence lakini ni wachache wamefanikiwa ku- access hili tabaka licha ya kuwa kila mmoja/kila binadamu ana potential hiyo sawa (equal chance) kupata hiyo neema. Ukisikia binadamu wote ni sawa kwakigezo hiki inaleta mantiki.
Karibu Dr.
 
Kwa nini kakupendelea wewe kakupa ubongo, mikono na macho?

Mbona wengine kawanyima?

Mbona wengine wanazaliwa bila mikono, wengine wanakuwa vipofu na wengine wanazaliwa mazezeta?

Mungu gani huyo mwenye ubaguzi?
You don't see a bigger picture here

Hao wengine wamezaliwa hivyo ili utukufu wake uonekane, kwamba anaweza yote katika hali yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…