Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,081
- 1,958
Ni wapi mimi nimekuambia nimepewa majukumu na Mungu?Huyo Mungu mwenye upendeleo anastahili kukanwa hadharani. Kwa nini amekupendelea wewe akakupa majukumu halafu mimi akaninyima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi mimi nimekuambia nimepewa majukumu na Mungu?Huyo Mungu mwenye upendeleo anastahili kukanwa hadharani. Kwa nini amekupendelea wewe akakupa majukumu halafu mimi akaninyima?
Ni Theology, sio Theorogy.Wewe umesema huamini kama Mungu yupo, theorogy umeijulia wapi tena!?
Umepewa na nani?Ni wapi mimi nimekuambia nimepewa majukumu na Mungu?
Ok Vizuri sana..Mkuu acha ubishi
Kusoma teolojia haikupi kibali kwamba unajua kila kitu
Neno Mungu au MUNGU linawakilisha Mungu mkuu muweza wa yote asiye na mwanzo wala mwisho
Neno mungu linawakilisha sisi binadamu (miungu)
Mambo ya kwamba ulisoma theology yaache kwanza pembeni
Nini kusudi la kufanya yote haya!?pia ulijitahidi uamini kwelikweli ili mwishoni upate Nini!?kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,,
Soma makala hiiOk Vizuri sana..
Nimeyaacha pembeni haya Twende kwa facts sasa..
Sasa Tazama vizuri.... Psalms/Tehillim 82:6
View attachment 2929179
Au itaandikwa Hivi..
אֲנִי-אָמַרְתִּי, אֱלֹהִים אַתֶּם; וּבְנֵי עֶלְיוֹן כֻּלְּכֶם
Au Itatamkwa Hivi..
Ani amarti, Elohim atem; u'venei Elyon kulchem.
Tafsiri ya Neno kwa neno ni kama ifuatavyo..
- אֲנִי (Ani) - I "Mimi"
- אָמַרְתִּי (amarti) - said "Nasema"
- אֱלֹהִים (Elohim) - Mungu/Elohim
- אַתֶּם (atem) - you are (Ni ninyi)
- וּבְנֵי (u'venei) - and sons of "Na wana wa"
- עֶלְיוֹן (Elyon) - the Most High
- כֻּלְּכֶם (kulchem) - all of you
Hakuna tofauti ya Mungu na mungu katika maandishi ya Biblia mkuu..
Mungu ni Elohim na mungu ni Elohim
Karibu..
Soma na nyingine hii hapaOk Vizuri sana..
Nimeyaacha pembeni haya Twende kwa facts sasa..
Sasa Tazama vizuri.... Psalms/Tehillim 82:6
View attachment 2929179
Au itaandikwa Hivi..
אֲנִי-אָמַרְתִּי, אֱלֹהִים אַתֶּם; וּבְנֵי עֶלְיוֹן כֻּלְּכֶם
Au Itatamkwa Hivi..
Ani amarti, Elohim atem; u'venei Elyon kulchem.
Tafsiri ya Neno kwa neno ni kama ifuatavyo..
- אֲנִי (Ani) - I "Mimi"
- אָמַרְתִּי (amarti) - said "Nasema"
- אֱלֹהִים (Elohim) - Mungu/Elohim
- אַתֶּם (atem) - you are (Ni ninyi)
- וּבְנֵי (u'venei) - and sons of "Na wana wa"
- עֶלְיוֹן (Elyon) - the Most High
- כֻּלְּכֶם (kulchem) - all of you
Hakuna tofauti ya Mungu na mungu katika maandishi ya Biblia mkuu..
Mungu ni Elohim na mungu ni Elohim
Karibu..
Mimi namuamini MunguHapaan.
Kusema Mungu yupo, kama hayupo, kunaweza kuleta madhara mengi katika jamii.
Tumeona jinsi imani za Mungu kuwepo zilivyodhoofisha maendeleo ya kisayansi.
Galileo aligundua dunia inazunguka jua, jua halizunguki dunia. Ukweli huu ulikuwa kinyume na imani za kidini zilizosema kwamba jua linazunguka dunia.
Imani za kidini za kuamini Mungu kaiumba dunia na kaiweka katikati ya ulimwengu zilimpinga Galileo na kusababisha maendeleo ya kisayansi kuzorota.
Watu wanakataa dawa na kuamini watapona kwa kuonbewa jwa Mungu, huu ni ujinga.
Watu hawafanyi kazi, wanaamini wakimuomba Mungu atawasaidia, huu ni ujinga wenye madhara makubwa.
Watu wanaishi kwa hofu ya Mungu ambaye hayupo, huu ni ujinga.
Watu wanaibiwa hela kwa kuambiwa wamtokee Mungu anbaye hayupo, huo ni ujinga.
Kuamini Mungu yupo, kama hayupo, kunaweza juwa na madhara makubwa sana.
Hakuna Jibu lilizungumzwa hapo mkuu!Soma makala hii
Mungu kanipa ubongo, kanipa mikono, kanipa machoUmepewa na nani?
Usitake kuniambia umepewa na Shetani!
Dunia Haizunguki Jua (Kwa mujibu wa Biblia)..Mimi namuamini Mungu
Lakini natambua Dunia inazunguka jua
Nameza dawa endapo nkiumwa
Nafanya kazi nipate pesa,
Sasa point yako ni ipi hapo ?
"Angalau kitu kinaweza kuwepo na kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika."Kisicho kuwepo, Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.
Angalau kitu kinaweza kuwepo na kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Mungu huyo ni dhana ya kufikirika tu, isiyokuwepo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo na makisio tu
Ukisema Mungu huyo yupo, eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?
Otherwise huyo Mungu ni makisio yako tu, imaginations just an illusion.
Na huwezi kuthibitisha yupo.
Nimekupa link nyingine inayoelezea Zaburi ya 82Hakuna Jibu lilizungumzwa hapo mkuu!
Na wala halijajibu Zaburi/psalms/ Telihiim 82:6..
Zaidi ya Maelezo ya Mashahudi wa Yehova..
Neno Elohim (Mungu) Kwa kihebrania ndo hilo hilo hutumika watu kulitafsiri kama Miungu..
Umewahi kujiuliza kwanini..Neno moja liwe na Tafsiri tofauti kulingana na Matakwa ya Mtafsiri?
Neno hilo Hilo pia Linawakilisha Mungu..Au hufahamu Ndugu?
Bado tunasubiri.Subiri somo lianze
Pia ni mhimu ufahamu Biblia siyo mwisho wa Mungu, Mungu ni zaidi ya BibliaDunia Haizunguki Jua (Kwa mujibu wa Biblia)..
Dunia Iko Still Unmovable na fixed ila Jua ndo huzunguka Dunia..?
"Umeshasema kwa mujibu wa biblia"Dunia Haizunguki Jua (Kwa mujibu wa Biblia)..
Dunia Iko Still Unmovable na fixed ila Jua ndo huzunguka Dunia..?
Kwa nini kakupendelea wewe kakupa ubongo, mikono na macho?Mungu kanipa ubongo, kanipa mikono, kanipa macho
Vingine naweza kujipa mwenyewe
Point yangu ni kwamba, hiyo elimu imecheleweshwa sana kwa sababu ya imani ya dini na Mungu.Mimi namuamini Mungu
Lakini natambua Dunia inazunguka jua
Nameza dawa endapo nkiumwa
Nafanya kazi nipate pesa,
Sasa point yako ni ipi hapo ?
Karibu Dr.Mkuu umejibu Vyema kuwa Huna Uhakika..
Je Hii Unaijua Mkuu!..
Zaburi 82:6
"Mimi nimesema, Nyinyi ni miungu,
Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
I have said, Ye are god; and all of you are children of the most High."
Na unakumbuka Pia Andiko hili Yesu aliwahi kulirudia walipomwambia kwanini anajiita mwana wa aliyejuu..
Yohana 10:30-35
[30]Mimi na Baba tu umoja.
[31]Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.
[32]Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?
[33]Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.
[34]Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu?
[35]Ikiwa aliwaita miungu wale waliofata na kutii neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka);
You don't see a bigger picture hereKwa nini kakupendelea wewe kakupa ubongo, mikono na macho?
Mbona wengine kawanyima?
Mbona wengine wanazaliwa bila mikono, wengine wanakuwa vipofu na wengine wanazaliwa mazezeta?
Mungu gani huyo mwenye ubaguzi?