Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Aisee! Sio kila muda atakaokua broke atasema utashangaa anakua mtu wa hasira tu
Jiongeze!!
Kama mimi ni mtu wako na tunachukuliana kama marafiki, watani, sometimes makasiriko kiasi na tunayamaliza na kucheka tena lazima tuwe kwenye level ya kutofichana mambo yetu. Nitakushangaa kama una shida ya hela alafu akauchuna. Watu tuna mambo mengi kuanzia asubuhi mpaka jioni, muda wa faraja ni usiku na week ends tu...
 
[emoji28][emoji28]

Hizi ni pesa ndogondogo sana ambazo nazitoa bila majuto.
 
Kazi kweli kweli!
 
WEWE ni mtu wa maana,Leo nitakuweka kwenye maombi yangu.

Kwanza wewe malaika Gabriel akulinde Kila unapoenda,

Mungu akubariki unapoingia na unapotoka,

Atakayekulaan na alaaniwe yeye mpaka kizazi chake Cha 3


Kwanza umekula ?
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mm kutokana na approch yangu kwa mademu ya upole na full time care hujikuta wanashindwa kuniomba hela .Basi hulazimika kutumia hii sana .yaan huwa najiweka karibu na mwanamke wangu nijue issues zake kisha nakisia huyu ana shida na laki 3 .naamka tu namtumia laki 3.5 namwambia "bby najua mi sio tajiri ila naomba uipunguzie ulipokwama,love u "
 
Sijawahi kujua kama kuna siku ntaunga mkono post/comment yako 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…