Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #121
[emoji28][emoji28]Asante mama!
Ni aibu iliyoje kuja kutambua kuwa umezaa omba omba au mtegemezi /mlemavu mwenye viungo vyote!!
So sad!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28]Asante mama!
Ni aibu iliyoje kuja kutambua kuwa umezaa omba omba au mtegemezi /mlemavu mwenye viungo vyote!!
So sad!
Nipo nimekaa hapa karibu na entrance mkuu [emoji2]Mie mtabiri....nisubirie hapo, ukiona mshangazi wa maana unaingia ni mie
Kama mimi ni mtu wako na tunachukuliana kama marafiki, watani, sometimes makasiriko kiasi na tunayamaliza na kucheka tena lazima tuwe kwenye level ya kutofichana mambo yetu. Nitakushangaa kama una shida ya hela alafu akauchuna. Watu tuna mambo mengi kuanzia asubuhi mpaka jioni, muda wa faraja ni usiku na week ends tu...Aisee! Sio kila muda atakaokua broke atasema utashangaa anakua mtu wa hasira tu
Jiongeze!!
NAKAZIAMiamala kama hiyo inatakiwa iende kwa mama yako au mke wa ndoa.
[emoji28][emoji28]HUU UJINGA NILIUACHA KWA WYF NILIWAHI INGIWA NA JN MAHABA YA WAKE ZA WATU MMOJA ALIKUWA ANAPEWA MZIGO MREFUU M NAFANYA KUTAFUTA CHOCHO TUNAHONDOMOLAA YAAN BALAA MWAKA MZIMA NA NUSU NALETEWA CASH MPAKA AKAENDA MAREKAN....ENDELÈN KUWAPA TENA MKOPE X PESA ..MPESA MKOSE KULIPA MWONE MSG ZA WAHUNI KILA CONT ZAKO TUTAZILA ATUACHII
Sawa mkuu [emoji2]Tutamla tu ata kama ukimtumia million 10 kila baada ya lisaa limoja. [emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ume-mind sanaBasi nendeni kwake kama pumzi yake haitakata.
Hawezi kuwapa hela wote eti 200k, sijui 150k aiseee[emoji119]
Kazi kweli kweli!Kama mimi ni mtu wako na tunachukuliana kama marafiki, watani, sometimes makasiriko kiasi na tunayamaliza na kucheka tena lazima tuwe kwenye level ya kutofichana mambo yetu. Nitakushangaa kama una shida ya hela alafu akauchuna. Watu tuna mambo mengi kuanzia asubuhi mpaka jioni, muda wa faraja ni usiku na week ends tu...
[emoji2][emoji2]Nimekuelewa mkuu, nimeifuta kauli yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hahah hiyo itakuwa Lucas 4:12 na sio Luka ile ya kwenye Biblia...
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]WEWE ni mtu wa maana,Leo nitakuweka kwenye maombi yangu.
Kwanza wewe malaika Gabriel akulinde Kila unapoenda,
Mungu akubariki unapoingia na unapotoka,
Atakayekulaan na alaaniwe yeye mpaka kizazi chake Cha 3
Kwanza umekula ?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo hata sisi tunaolipwa 60k kwa kazi za ulinzi, tunahusika?
Tuoneeni huruma jamaa.
Mawazo yako ni lazima yaheshimiwe [emoji2]Kwa kipi kipya wapewe hela yote hiyo mimi hata niwe na hela.
Nyingi siwez fanya ujinga huo ni bora nimfungulie mtaji na atakuwa ananipa hela mdogo mdogo
Ni sawa tu, who cares [emoji57]Unaweza ukampa hizo pesa zote lakini akatangaza Kwa shoga zake amepata zoba & Na mvuvi kitandani. LOVE IS UNCONDITIONAL
Yes kazi kwelikweli kwasababu wewe ni mwanamke "Muhitaji wa kulelewa" nami ni mwanaume "Mwenye mzigo wa kulea" so lazima uvutie kwenye mteremko ila nasema nitakulea kwa kuwekana wazi, sijakataa kujiongeza kupo ila si kwa hatua ya mleta mada Amicus CuriaeKazi kweli kweli!
To hell, who cares [emoji57]Inategemeana na nature yake huyo mwanamke, mwingine atakutafutia mume mwenza
Sijawahi kujua kama kuna siku ntaunga mkono post/comment yako 🤣🤣🤣Tanzania iwekeze kwenye elimu tu na ibadilishe mfumo wa elimu kabisa. Ndipo itaanza kuona maendeleo baada ya miaka 15 mpaka 20 ya mabadiliko ya aina ya elimu yetu.
Kama hatutobadili mfumo wa limu nje ndani, maendeleo ya kweli tusahau, tutabaki kuwa ombaomba tu.
Kwa o,mbaomba namaanisha tegemezi, mfumo wetu wa elimu siyo wa mtu binafsi kujitegemea, ni wa kila mtu kutegemea afanyiwe.