Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Aisee! Sio kila muda atakaokua broke atasema utashangaa anakua mtu wa hasira tu
Jiongeze!!
Kama mimi ni mtu wako na tunachukuliana kama marafiki, watani, sometimes makasiriko kiasi na tunayamaliza na kucheka tena lazima tuwe kwenye level ya kutofichana mambo yetu. Nitakushangaa kama una shida ya hela alafu akauchuna. Watu tuna mambo mengi kuanzia asubuhi mpaka jioni, muda wa faraja ni usiku na week ends tu...
 
HUU UJINGA NILIUACHA KWA WYF NILIWAHI INGIWA NA JN MAHABA YA WAKE ZA WATU MMOJA ALIKUWA ANAPEWA MZIGO MREFUU M NAFANYA KUTAFUTA CHOCHO TUNAHONDOMOLAA YAAN BALAA MWAKA MZIMA NA NUSU NALETEWA CASH MPAKA AKAENDA MAREKAN....ENDELÈN KUWAPA TENA MKOPE X PESA ..MPESA MKOSE KULIPA MWONE MSG ZA WAHUNI KILA CONT ZAKO TUTAZILA ATUACHII
[emoji28][emoji28]

Hizi ni pesa ndogondogo sana ambazo nazitoa bila majuto.
 
Kama mimi ni mtu wako na tunachukuliana kama marafiki, watani, sometimes makasiriko kiasi na tunayamaliza na kucheka tena lazima tuwe kwenye level ya kutofichana mambo yetu. Nitakushangaa kama una shida ya hela alafu akauchuna. Watu tuna mambo mengi kuanzia asubuhi mpaka jioni, muda wa faraja ni usiku na week ends tu...
Kazi kweli kweli!
 
Mm kutokana na approch yangu kwa mademu ya upole na full time care hujikuta wanashindwa kuniomba hela .Basi hulazimika kutumia hii sana .yaan huwa najiweka karibu na mwanamke wangu nijue issues zake kisha nakisia huyu ana shida na laki 3 .naamka tu namtumia laki 3.5 namwambia "bby najua mi sio tajiri ila naomba uipunguzie ulipokwama,love u "
 
Tanzania iwekeze kwenye elimu tu na ibadilishe mfumo wa elimu kabisa. Ndipo itaanza kuona maendeleo baada ya miaka 15 mpaka 20 ya mabadiliko ya aina ya elimu yetu.

Kama hatutobadili mfumo wa limu nje ndani, maendeleo ya kweli tusahau, tutabaki kuwa ombaomba tu.

Kwa o,mbaomba namaanisha tegemezi, mfumo wetu wa elimu siyo wa mtu binafsi kujitegemea, ni wa kila mtu kutegemea afanyiwe.
Sijawahi kujua kama kuna siku ntaunga mkono post/comment yako 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom