Nikujibu kwwnza kwenye scrub ya povu..hua inawekwa sabuni..sscrub za hivyo hua zinaitwa skin polish au foaming scrub au emulsified forming scrub..ukiona imeandikwa emulsified jua kwenye ingredients Kuna KIASI Cha Mafuta kinakua kimetumika either carrier oils au butter.ewaxYna kuna scrub ya kahawa natumia inatoa povu zuri sana.
Nini kinawekwa kingine ili kupata povu?
Ahsante kwa SoMo umetusaidia wapenda scrub....
Naambiwa pia scrub ya chumvi ni nzuri, ukipata muda naomba weka maelekezo
Nakusubiri mumy....nataka nianze kujitengenezea ila kawepo na kasabuniNikujibu kwwnza kwenye scrub ya povu..hua inawekwa sabuni..sscrub za hivyo hua zinaitwa skin polish au foaming scrub au emulsified forming scrub..ukiona imeandikwa emulsified jua kwenye ingredients Kuna KIASI Cha Mafuta kinakua kimetumika either carrier oils au butter
Nitarudi ninywe chai kwanza[emoji3]
Kawaida scrub hutumika mara mbili Hadi tatu kwa week..kwahiyo kipimo hicho kitakua Cha muda mrefu..ikiisha watengeneza nyingineSukari ya brown kikombe kimoja
-Kahawa ya brown nusu kikombe
-Mafuta ya mzeituni nusu kikombe
-Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp)
Nataka kujua huu mchanganyo wote ukiutengeneza unautumia kwa Mara moja Hadi uishe au utakuwa unauhifadhi ?
Na ukiwa unauhifadhi inabidi ukae kwa muda gani ?
Scrub ya chumvi nayo Ni nzuri hasa upate ile pink salt au dead sea salt.Yna kuna scrub ya kahawa natumia inatoa povu zuri sana.
Nini kinawekwa kingine ili kupata povu?
Ahsante kwa SoMo umetusaidia wapenda scrub....
Naambiwa pia scrub ya chumvi ni nzuri, ukipata muda naomba weka maelekezo
Asante Sana nduguKawaida scrub hutumika mara mbili Hadi tatu kwa week..kwahiyo kipimo hicho kitakua Cha muda mrefu..ikiisha watengeneza nyingine
Scrub kavu Kama hii hudumu kwa miezi mitatu..na pia hutegemea na uchotaji wako wakati wa kutumia hakikisha unatumia kitu kikavu kuchotea ..hakikisha isiingie maji ikiingia maji haiwezi dumu kwa miezi 3.
Ahsante
Unga wa kahawa unapatikana wapi kwa dar?Karibu tena mpendwa
Nakusubiri mumy....nataka nianze kujitengenezea ila kawepo na kasabuni
Yes sisy.Karibu kipenzi
Ya miguu scrub?