Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
- Thread starter
- #41
Nikujibu kwwnza kwenye scrub ya povu..hua inawekwa sabuni..sscrub za hivyo hua zinaitwa skin polish au foaming scrub au emulsified forming scrub..ukiona imeandikwa emulsified jua kwenye ingredients Kuna KIASI Cha Mafuta kinakua kimetumika either carrier oils au butter.ewaxYna kuna scrub ya kahawa natumia inatoa povu zuri sana.
Nini kinawekwa kingine ili kupata povu?
Ahsante kwa SoMo umetusaidia wapenda scrub....
Naambiwa pia scrub ya chumvi ni nzuri, ukipata muda naomba weka maelekezo
Nitarudi ninywe chai kwanza😀