Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

Yna kuna scrub ya kahawa natumia inatoa povu zuri sana.

Nini kinawekwa kingine ili kupata povu?

Ahsante kwa SoMo umetusaidia wapenda scrub....

Naambiwa pia scrub ya chumvi ni nzuri, ukipata muda naomba weka maelekezo
Nikujibu kwwnza kwenye scrub ya povu..hua inawekwa sabuni..sscrub za hivyo hua zinaitwa skin polish au foaming scrub au emulsified forming scrub..ukiona imeandikwa emulsified jua kwenye ingredients Kuna KIASI Cha Mafuta kinakua kimetumika either carrier oils au butter.ewax
Nitarudi ninywe chai kwanza😀
 
Nikujibu kwwnza kwenye scrub ya povu..hua inawekwa sabuni..sscrub za hivyo hua zinaitwa skin polish au foaming scrub au emulsified forming scrub..ukiona imeandikwa emulsified jua kwenye ingredients Kuna KIASI Cha Mafuta kinakua kimetumika either carrier oils au butter
Nitarudi ninywe chai kwanza[emoji3]
Nakusubiri mumy....nataka nianze kujitengenezea ila kawepo na kasabuni
 
Hata sisi wanaume wa dar tunaruhusiwa kutumia scrub ?

Au tukipaka tunatakiwa tujifiche ndani?
 
Sukari ya brown kikombe kimoja
-Kahawa ya brown nusu kikombe
-Mafuta ya mzeituni nusu kikombe
-Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp)

Nataka kujua huu mchanganyo wote ukiutengeneza unautumia kwa Mara moja Hadi uishe au utakuwa unauhifadhi ?

Na ukiwa unauhifadhi inabidi ukae kwa muda gani ?
Kawaida scrub hutumika mara mbili Hadi tatu kwa week..kwahiyo kipimo hicho kitakua Cha muda mrefu..ikiisha watengeneza nyingine
Scrub kavu Kama hii hudumu kwa miezi mitatu..na pia hutegemea na uchotaji wako wakati wa kutumia hakikisha unatumia kitu kikavu kuchotea ..hakikisha isiingie maji ikiingia maji haiwezi dumu kwa miezi 3.
Ahsante
 
Yna kuna scrub ya kahawa natumia inatoa povu zuri sana.

Nini kinawekwa kingine ili kupata povu?

Ahsante kwa SoMo umetusaidia wapenda scrub....

Naambiwa pia scrub ya chumvi ni nzuri, ukipata muda naomba weka maelekezo
Scrub ya chumvi nayo Ni nzuri hasa upate ile pink salt au dead sea salt.
Utengenezaji wake hauna tofauti na sugar scrub.
 
Kawaida scrub hutumika mara mbili Hadi tatu kwa week..kwahiyo kipimo hicho kitakua Cha muda mrefu..ikiisha watengeneza nyingine
Scrub kavu Kama hii hudumu kwa miezi mitatu..na pia hutegemea na uchotaji wako wakati wa kutumia hakikisha unatumia kitu kikavu kuchotea ..hakikisha isiingie maji ikiingia maji haiwezi dumu kwa miezi 3.
Ahsante
Asante Sana ndugu
 
[mention]Yna2 [/mention] hivi bado unatengeneza mafuta

Mi naona mambo yamekuwa mengi nashindwa

Tuongee biashara basi[emoji8]
 
[mention]Yna2 [/mention] hivi bado unatengeneza mafuta

Mi naona mambo yamekuwa mengi nashindwa

Tuongee biashara basi[emoji8]
Mimi nimepumzika kwa muda dear..
But nafikiria mwezi wa tano nirudi rasmi na brand kubwa
 
Karibu kipenzi
Ya miguu scrub?
Yes sisy.

Usoni sipendi kugusa na makororo mengine kabisa.mafuta ya nazi na sabuni papaya inatosha kabisa.

Naogopa kuleta mchezo na uso aisee
 
Back
Top Bottom