Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Yule odo alikuwa kabla ya samli anamwagia yai kwanza,sijui zilikuwa mbwembwe tu au ndio mchele mmoja ila mapishi mbali mbali?

Kabisaa..mapishi tofauti ila me ntajiribu na hivo usemavyo wewe..tnx
 
Asante sana farkhina nimeandika recipe nitajarribu na nikiweza nitakujuza
 
Last edited by a moderator:
Ni mkate mtamu sana na niliwahi kula mara mbili mwaka jana. I wish ningeupata mkate huu for Thanksgiving lunch!
 
I swear ungekuwa hujaolewa ningeleta posa kwenu asap

mapishi yoote unayoweka humu unanigusa pale pale
mkate huu ndo ugonjwa wangu..

yaani chai ya mchaichai na mkate wa kumimina na katlesi asubuhi dah...

acha kabisa
Awezakuwa ana mdogowe. We peleka posa tu mkuu
 
Kila la heri, halafu mbona hukurudisha feedback kuhusu ile mihogo ya kukaanga!? Au bado hujaipatia muda?

Mie naisubiri hiyo mihogo na chumvi na pilipili....mate yamenijaa sijui kama sitoota lol...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wallahi mwaka huu utatuua na mapishi yako bibie!! Nimeshaongezeka 2 pounds tangu uanze kutuletea hizi recipes. Itabidi nianze kufanya "Insanity Workouts"
 
Back
Top Bottom