Hesabu yangu inaonyesha ni TZS 429,520 (Manunuzi +Kusafirisha + My charges )Homtom s8 mpya yenye thamani kama laki tatu hivi au nne
Mimi nitachukua dhamana kuhakikisha inakufikia, hivyo fedha yako itakuwa salama.Naogopa kuibiwa
Hata sijawah usikiaVp kuhusu mtandao wa zalando kwa manunuzi ya viatu? Kuna mtu aliwahi nunua kupitia hii site?
AsanteHesabu yangu inaonyesha ni TZS 429,520 (Manunuzi +Kusafirisha + My charges )
Hadi kuifikisha DSM.
HOMTOM S8 5.7 Inch Smartphone
- 4GB 64GB
- Octa Core 13.0MP
- Dual Rear Cam
- Android 7.0
- Touch ID
Mimi nitachukua dhamana kuhakikisha inakufikia, hivyo fedha yako itakuwa salama.
Kwa taratibu za huduma hii pitia hii thread yangu: www.bit.ly/101buy4me
Karibu
Ndio inatumwa moja kwa moja,kuna bidhaa zimeandikwa free international shipping hizi kuna haja ya kutumia forwarding company kweli?si znatumwa moja kwa moja tu?
sawa sawa mkuu hivi kati ya aliexpress na ebay wapi simu ni cheap?? na ni upi kati ya hizi sites wanaship haraka kwa posta?Ndio inatumwa moja kwa moja,
Iwapo kuna nchi seller hatumi huwa ameziorodhesha.
aliexpress na ebay wapi simu ni cheap??sawa sawa mkuu hivi kati ya aliexpress na ebay wapi simu ni cheap?? na ni upi kati ya hizi sites wanaship haraka kwa posta?
VP ukitaka kununua used utaona sign gan pale eBay au unafanyajealiexpress na ebay wapi simu ni cheap??
- Site zote waweza kupata simu kwa ghalama nafuu. Ebay ni bora zaidi kwa simu zilizotumika (refurbished), waweza kupata kwa bei usiyoweza kutarajia, na simu ikiwa bora sawa na mpya.
ni upi kati ya hizi sites wanaship haraka kwa posta?
- Aliexpress ni bora, Sababu kuna option zaidi ya moja ya usafirishaji, wewe ndio unachagua ipi itumike.
- Ebay - Seller ndio huchagua njia ya kusafirishia, Huchagua njia ambayo ni cheap zaidi, ili yeye apate faida, hivyo hupelekea mzigo kuchelewa.
Amazon ni bora zaidi.Amazon na eBay ??... Hasa ktk tech products??
Hili limetatuliwa kwa huduma hii ya BUY4ME hapa www.bit.ly/101buy4meSasa swala la kununua Inakuaje?? Cz mostly naona hawa ship to TZ.
Nahitaji ninunue bidhaa kupitia aliexpress na sijui nianzie wap...pls naomba unipe mawili matatu 0676680468mi nimenunua vifaa vya photo studio ali express nililipa kwa paypal.. na mzigo ulitumwa dar kwa dhl.. ndio umefika nahangaikia kodi
Amazon.in nimeitumia sana during my stay in Delhi!Ipo nyingine kana banggood, gearbest, Amazon india, na nyinginezo
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hawa wako amazon au aliexpress?Nauza vifaranga aina zote
Mkuu, ni upi usalama wa kulipa Aliexpress na Amazon kwa kutoa details zako za bank account?aliexpress na ebay wapi simu ni cheap??
- Site zote waweza kupata simu kwa ghalama nafuu. Ebay ni bora zaidi kwa simu zilizotumika (refurbished), waweza kupata kwa bei usiyoweza kutarajia, na simu ikiwa bora sawa na mpya.
ni upi kati ya hizi sites wanaship haraka kwa posta?
- Aliexpress ni bora, Sababu kuna option zaidi ya moja ya usafirishaji, wewe ndio unachagua ipi itumike.
- Ebay - Seller ndio huchagua njia ya kusafirishia, Huchagua njia ambayo ni cheap zaidi, ili yeye apate faida, hivyo hupelekea mzigo kuchelewa.
Hawa wapo Ebay au Aliexpress? ππππNauza vifaranga aina zote