Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Habari wakuu huwa nanunua bidhaa mtandaoni, na vyote vimewahi kufika tena kwa njia ya posta
Huwa napokelea posta za mikoani (arusha huku)
Yaani kuhusu simu nimeanza kuogopa na sina option nyingine ya kupitisha isipokua posta
Naogopa kuibiwa maana simu yenyewe nataka ninunue Homtom s8 mpya yenye thamani kama laki tatu hivi au nne
a6eb23a72970051e98e190199588fbd0.jpg

Uoga wangu ni kuhusu posta ya tz ningekua dar nisingehofia maana at least ningefuatilia hofu yangu ni kuibiwa posta tu
 
Homtom s8 mpya yenye thamani kama laki tatu hivi au nne
Hesabu yangu inaonyesha ni TZS 429,520 (Manunuzi +Kusafirisha + My charges )
Hadi kuifikisha DSM.
HOMTOM S8 5.7 Inch Smartphone
  • 4GB 64GB
  • Octa Core 13.0MP
  • Dual Rear Cam
  • Android 7.0
  • Touch ID
Naogopa kuibiwa
Mimi nitachukua dhamana kuhakikisha inakufikia, hivyo fedha yako itakuwa salama.

Kwa taratibu za huduma hii pitia hii thread yangu: www.bit.ly/101buy4me

Karibu
 
Asante
 
kuna bidhaa zimeandikwa free international shipping hizi kuna haja ya kutumia forwarding company kweli?si znatumwa moja kwa moja tu?
 
Ndio inatumwa moja kwa moja,
Iwapo kuna nchi seller hatumi huwa ameziorodhesha.
 
sawa sawa mkuu hivi kati ya aliexpress na ebay wapi simu ni cheap?? na ni upi kati ya hizi sites wanaship haraka kwa posta?
 
aliexpress na ebay wapi simu ni cheap??
- Site zote waweza kupata simu kwa ghalama nafuu. Ebay ni bora zaidi kwa simu zilizotumika (refurbished), waweza kupata kwa bei usiyoweza kutarajia, na simu ikiwa bora sawa na mpya.

ni upi kati ya hizi sites wanaship haraka kwa posta?
- Aliexpress ni bora, Sababu kuna option zaidi ya moja ya usafirishaji, wewe ndio unachagua ipi itumike.
- Ebay - Seller ndio huchagua njia ya kusafirishia, Huchagua njia ambayo ni cheap zaidi, ili yeye apate faida, hivyo hupelekea mzigo kuchelewa.
 
VP ukitaka kununua used utaona sign gan pale eBay au unafanyaje
 
Habari zenu wakuu,

Leo nlikua nacheki bidhaa mbalimbali amazon na eBay... Specifically cameras, camcorder, na drones

Sasa swala la kununua Inakuaje?? Cz mostly naona hawa ship to TZ.

Na pia, Quality na uaminifu (wazoefu),...which is better kati ya Amazon na eBay ??... Hasa ktk tech products??
 
mi nimenunua vifaa vya photo studio ali express nililipa kwa paypal.. na mzigo ulitumwa dar kwa dhl.. ndio umefika nahangaikia kodi
Nahitaji ninunue bidhaa kupitia aliexpress na sijui nianzie wap...pls naomba unipe mawili matatu 0676680468
 
Habari wanajf?
Naomba msaada wanajf Jaman jinsi ya kupurchase vifaa vya electronics online kutoka kwa makampuni km aliexpress, eBay, Alibaba, amazon na mengineo vipi huduma zao zikoje, unanunuaje na unapokeaje? Nchini mwako km Tanzania
 
aliexpress na ebay wapi simu ni cheap??
- Site zote waweza kupata simu kwa ghalama nafuu. Ebay ni bora zaidi kwa simu zilizotumika (refurbished), waweza kupata kwa bei usiyoweza kutarajia, na simu ikiwa bora sawa na mpya.

ni upi kati ya hizi sites wanaship haraka kwa posta?
- Aliexpress ni bora, Sababu kuna option zaidi ya moja ya usafirishaji, wewe ndio unachagua ipi itumike.
- Ebay - Seller ndio huchagua njia ya kusafirishia, Huchagua njia ambayo ni cheap zaidi, ili yeye apate faida, hivyo hupelekea mzigo kuchelewa.
Mkuu, ni upi usalama wa kulipa Aliexpress na Amazon kwa kutoa details zako za bank account?
Naogopa kuibiwa na endapo kuna tatizo unasolveje wakati ulishalipa?
 
Back
Top Bottom