toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Habari wakuu huwa nanunua bidhaa mtandaoni, na vyote vimewahi kufika tena kwa njia ya posta
Huwa napokelea posta za mikoani (arusha huku)
Yaani kuhusu simu nimeanza kuogopa na sina option nyingine ya kupitisha isipokua posta
Naogopa kuibiwa maana simu yenyewe nataka ninunue Homtom s8 mpya yenye thamani kama laki tatu hivi au nne
Uoga wangu ni kuhusu posta ya tz ningekua dar nisingehofia maana at least ningefuatilia hofu yangu ni kuibiwa posta tu