Import duty
na VAT
Sina hakika ipi ni 20% na ipi ni 18%
Hivo mzigo kama ni 100$ na uko valid kupigwa ushuru basi watachukua (100$ × 0.18) + (100×0.20)
Na huo ndo ushuru wako ila ikumbukwe educational materials hazipaswi kugongwa ushuru
Bila shaka mkuu hiyo % inapigwa kwa kujumlisha bei ya manunuzi na shipping au niko wrong?
mara nyingi invoice za vitu kutoka eBay huwa zinaficha bei halisi na bei za kuship
Lkn iwapo wataziweka zote shipping na Ile ya cost ya kitu basi zote zitaunganishwa kwenye ushuru
Ushuru kwa DHL hapa Dar ni innevitable kwa items zote zilizo eligible kutozwa ushuru
Kwa mfano iphone 5S wanatoza kodi?? INaweza kuwa kiasi gani?
kwa kweli mm tokea DHL nigundue wanatoza ushuru siwatumii tena issue kama hizo kama naagiza na myus.com natuia Fedex hao nina uhakika hawa charge ushuru kwa vitu vya matumizi binafsi
Nakumbuka siku moja nimeenda DHL kutoa mzigo wangu nikakuta kuna mdada ambae tulifahamiana akidai yuko analipia taxation za Sony experia z1 ambayo alitumiwa tena kama zawadi
Hivo hali iko hivo kama kitu kipo eligible wanachukua 18% ya item(VAT) wanajumlisha na 20% ya cost ya item(Import duty) wanakuhesabia ushuru
Wanayo GVT of TZ fee kama 1000/=
Wanayo release fee kama 5,000/=
yaani wale matapeli wakubwa tu mzigo hawauachii hivi hivi
Mizigo yangu yote natumia posta, huwa siwaambii sellers watumie DHL kwasabab siwaamini

FedEx and DHL ipi ni cheap kwenye gharama za ushuru.
Mizigo yangu yote natumia posta, huwa siwaambii sellers watumie DHL kwasabab siwaamini
Fedex nimewatumia mara moja tu ila hawacharge ushuru kama mzigo ni for personal use
DHL hao yaani walau lazima uache hata 6,000/= ukikwepa ushuru
Bro kwani posta ushuru wao sio mkubwa???
Posta wanaweza kukukaushia hata kodi ukienda kuongea nao vizuri. DHL watakukalia shingoni
Haha kumbe Posta waweza fanya bargain price na mhudumu okay ngoja nikusanye nione namna ya kutuma
Uzi mzuri sana huu