Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Nlishaagiza tablet kwenye e-bey na nguo ya mtoto kwenye alibaba.com, vyote nilivichukulia posta na sikuulizwa masuala ya ushuru wala bargaining yoyote.
Ingawa kunastory kwamba posta ni wapigaji ila sidhan kama kunaukweli

Ndugu naku PM kwa taarifa zaidi..
 
Guys naomben procedure ya kulink bank a/c yangu na paypal ili nianze fanya online transaction......btw paypal a/c ninayo tayari
 
Jamani kwa mlio wahi kununua simu ebay naomba mnifahamishe uki compare bei za ebay na maduka ya hapa kwetu wapi kuna unafuu
 
Jamani kwa mlio wahi kununua simu ebay naomba mnifahamishe uki compare bei za ebay na maduka ya hapa kwetu wapi kuna unafuu

hamna unafuu wowote bora nunua hapa bongo ili ikiharibika inakua rahisi ku solve shida
Tofauti ipo ila ukiweka hela ya kusafirisha utakuta ume save 50,000/= ambayo kwangu mm ni ndogo maana simu ikiharibika au ikipatwa tatizo itakugharimu hela nyingine kuirudish mwisho wa siku ni mule mule
 
Ahsante sana mkuu
 
Hahaha hapana mkuu sio kwa tafsiri hiyo kabisa....
Unajua mkuu ilibidi nirudi kwenye ile post yako uliosema unam-PM jamaa kuona kama kuna uhalali wa icho unachodai kilikuwa ni siri sirini! Hamad, sikuona kitu kama hicho wala hakuna uhusiano wowote na huo usiri ndo maana nikasema pengine mlikuwa mnatafutana kwenye michepuko!!
 
Jamani kwa mlio wahi kununua simu ebay naomba mnifahamishe uki compare bei za ebay na maduka ya hapa kwetu wapi kuna unafuu

Ebay ni nafuu sana kuliko huku kwasababu maduka ya huku wananunua huko, wanalipa kodi na wanataka faida juu.

Kuna duka niliulizia iphone 5s wakaniambia 1,300,000 wakati ukiingia ebay au amazon 900,000
 
Hongera sana mtoa kwa funzo ili murwaa! Sasa naomba kujua nikinunua TV,home theater na bidhaa za nyumbani nyingine hali ya usalama wa kunifikia hapa bongo upo?....na VAT na ushuru vp?...maana tatizo la hapa Tz ni wizi tu pale posta maana niliwahi kutumiwa zawadi kutoka USA kwa ndugu aisee waliiba hadi camera mpaka Leo sijapata....ila ni mfumo mzuri sana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wakuu mimi nimejaribu, nimekwama hapa
 
Attachments

  • 1410189265163.jpg
    1410189265163.jpg
    45.6 KB · Views: 607
  • 1410189285582.jpg
    1410189285582.jpg
    26.4 KB · Views: 598
Nilijisajili nikatumiwa ujumbe huu
 
Attachments

  • 1410189371163.jpg
    1410189371163.jpg
    68.6 KB · Views: 570
Mtiririko mpaka nilipoishia
 
Attachments

  • 1410189649203.jpg
    1410189649203.jpg
    27 KB · Views: 576
  • 1410189673060.jpg
    1410189673060.jpg
    52.3 KB · Views: 592
Mkuu JZHOELO nkikutana na wewe lazima tugonge cheers!!!..... Huu uzi umekaa safi sana hasa kwetu sisi wadau wa E-Business!!...
Vipi hawa IPS, http://www.ipsparcel.com nao wamekaaje huduma zao kama shipping brokerers?

Otherwise I thank you to the maximum!
 
Back
Top Bottom