Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Asante, payment zao zinafanyika kupitia Credit card au paypal?

unafanya kwa Credit Card...Aliexpress hamna PAYPAL ila wana ESCROW ambao wao wanashika pesa kama Brokers mpaka buyer a confirm mzigo umefika na uko na similar descriptions wakati ananunua....

then ukishaupata una confirm umepokea ndio wanamlipa PESA YAKE MUUZAJI

na unaweza kufungua KESI (dispute) ikiwa una mashaka na item yako uliyopokea LI EXPRESS wakishirikiana na ESCROW watakusaidia kupata aidha refund au new item from seller
 
Asante sana ndugu kwa maelezo mazuri, je wewe mwenzetu umetumia njia gani mpka ukapata mzigo wako?
 
Mimi naona kwa faida ya wengi briefly yaweke hapa ili wasaidike na wengine.

Njia unayotumia ni POSTA tu, la muhimu uwe na sanduku la uhakika baasi

unanunua mzigo kwenye Mtandao kisha wao wanakutumia kwa Adress uliyoweka kule mtandaoni

unapewa tracking number kisha unaanza kutrack movement zake inachukua two weeks kutoka china/hong kong/ singapore mpaka Tanzania

kuna trick ya kukwepa kodi ila siwezi iandika hapa maana unaweza kuumia sana ukiwa hujui jinsi ya kufanya KODI ni kubwa mno baadhi ya items na carriers

in short na enjoy kununua mtandaoni na kusubiri two weeks kitu genuine kuliko kulipa sh. 100,000 zaidi madukani kariakoo au POSTA
 
Asante sana ndugu yangu,ubarikiwe sana,sasa nitakuwazir mkuu kwa maelezo zaidi.
 
naomba msaada wa kujua kwa kina juu ya ununuzi huu kwa njia ya mtandao maana umeniacha kidogo kwenhye forwading company na hizi courie kama DHL na FEDEX, utofauti wake upo wapi hasa?
 
naomba msaada wa kujua kwa kina juu ya ununuzi huu kwa njia ya mtandao maana umeniacha kidogo kwenhye forwading company na hizi courie kama DHL na FEDEX, utofauti wake upo wapi hasa?:angry::angry:
 
Kwanza natoa pongezi nyingi sana kwa ndugu yetu aliyechokoza mada hii, ni ya manufaa sana. Pili kwa wote waliochangia.

Mimi huagiza mizigo nje (natumia Debit Mastercard ya NBC) ila sijawahi kutumia Forwarding companies kama walivyotumia wenzangu. Nilikuwa na mpango wa kuagiza bidhaa toka Amazon, nilikuwa na maswali mengi kuhusu watakavyonisafirishia mizigo hiyo. Hapa nimeelimika! Tena sana.

Napenda nichangie kidogo pale nilipoona naweza. Kwanza kuhusu Pay Pal. Hawa wanaweza kukulipia fedha nje kwenye kampuni yo yote ila bahati mbaya the reverse is not possible. Yaani mtu wa nje hawezi kukulipa kupitia Pay pal. Niliwaandikia nilipotaka kulipwa commissions zangu toka Marekani kwenda kwenye account yangu ya NBC wakanijibu kuwa kwa sasa utaratibu huo haujaanza, labda siku za usoni. Hii ina maana gani?

Mara moja katika kuagiza mizigo, ilibidi niwe refunded pesa zangu baada ya mzigo kukosekana. Wao walinipa taarifa nzuri tu kuwa pesa zangu zimerudishwa, lakini kwenya account yangu hakikuingia chochote. Baada ya kufuatilia sana, ikagundulika kuwa hakuna utaratibu wa kuingiza fedha direct kwenye account (na sikuwa peke yangu). Pesa hizo zilikuwa paha fulani.

Kwa mtu wa mkoani au asiye mtundu, jee pesa hii ataipataje?

Binafsi kutumia account yako direct ni bora zaidi, ila tu iwe ni account mahsusi kwa international transactions na pasiwe na salio kubwa humo bila sababu.

Kuhusu kulipa au kutolipa ushuru Posta, niliambiwa inatagemea uzito wa mzigo. Kitu chochote kuanzia kilo 20, utakuta jamaa wanakusubiri lakini si kwa pungufu ya kilo hizo.
 
Asante kwa uzi mzuri na adhimu km huu..swali langu la msingi ni je malipo kwa hyo PayPal je huwa wanajilipaje?cost zao huwa wanazingatia nini hasa?ni flat rate au huwa zina varry?
Cc:Mwl.RCT,JZHOELO
 
Asante kwa uzi mzuri na adhimu km huu..swali langu la msingi ni je malipo kwa hyo PayPal je huwa wanajilipaje?cost zao huwa wanazingatia nini hasa?ni flat rate au huwa zina varry?
Cc:Mwl.RCT,JZHOELO

Zina vary kulingana na rates za pesa mfano kama bidhaa inauzwa kwa pound basi rates zitakua ni za muda ule kulingana na exchange rates
 
Kupokea hela Tanzania lazima utumie US Mastercard Services ambazo ku sign up tu unapata 25$ lkn payout ni mpaka ifikie 100$
Na hela ya kutoa hela ATM za mastercard ni 1% ya hela unayo cashout
Na kwa mwaka unalipa 25$ za service kutumia service yao ambayo iko fair iwapo hiyo acct itakua inakuingiza hela nyingi
Maelezo zaidi angali Chati niloweka chini

Hiyo sio shida faida yao ni nn hawa jamaa?

1.Unafanya maombi ya BURE ya Master Card ambayo inakua ya US kupitia hapa US Mastercard Services
2.Maombi yanachukua mda kidogo lazima uwe mpole kabla hawajakukubalia
3.Wakiyakubali maombi yako utatumiwa Master card yako kupitia FEDEX/DHL
4.Hatua ya pili uta activate card kwenye website yao
5.Baada ya hapo fungua PayPal account kisha weka details za Master card uliyotumiwa
6.Kishautakua unalipwa na kupokea malipo bila shida yoyote
5.Lakini bei zao kutoa hela katika ATM yoyote e.g NBC,CRDB,BARCKLAYS,STANBIC e.t.c makato yao ni kama ifatavyo

[TABLE="class: cms_table_fees-table"]
[TR]
[TH]Item[/TH]
[TH]Price (USD)[/TH]
[TH]Unit[/TH]
[TH]How Applied[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_title, colspan: 4"]Card Account[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_item"]Annual Account Maintenance[/TD]
[TD="class: cms_table_price"]$29.95[/TD]
[TD="class: cms_table_unit"]Per year[/TD]
[TD="class: cms_table_how-applied"]From available balance - each year[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_seperator, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_item"]Card Replacement[/TD]
[TD="class: cms_table_price"]$12.95[/TD]
[TD="class: cms_table_unit"]Per card[/TD]
[TD="class: cms_table_how-applied"]One Time - when issuing a replacement card[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_seperator, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_title, colspan: 4"]ATM/Cash Withdrawals or Transactions *[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_item"]ATM Withdrawal or POS/Bank Teller Cash Disbursement[/TD]
[TD="class: cms_table_price"]$3.15[/TD]
[TD="class: cms_table_unit"]Per Trx[/TD]
[TD="class: cms_table_how-applied"]When withdrawal or disbursement is requested
(*surcharge may also be applied by your ATM/POS service provider)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_seperator, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_item"]ATM Decline Fee[/TD]
[TD="class: cms_table_price"]$1.00[/TD]
[TD="class: cms_table_unit"]Per Trx[/TD]
[TD="class: cms_table_how-applied"]When withdrawal request is declined
(*surcharge may also be applied by your ATM service provider)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_seperator, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_item"]ATM Balance Inquiry Fee[/TD]
[TD="class: cms_table_price"]$1.00[/TD]
[TD="class: cms_table_unit"]Per Trx[/TD]
[TD="class: cms_table_how-applied"]When ATM balance inquiry is made
(*surcharge may also be applied by your ATM service provider)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Ninawazo nataka nifungue frem iusike na udobi kwaku2mia mashine ila ss cjui mashne kubwa ya kufulia bei yake msaada wenu jaman
 
kwa hyo wadau ili kulipa kodi ndogo au kutokulipa kabsa kodi kama wadau wslisema kwa personal use goods nitumie njia gani kuagiza
 
mimi napata taabu unakuta item unataka kuagiza afu seller haship kuja huku yaani nakereka kweli
 
amazon in general ni nzuri kwa upande wote, amazon inanipa kujiamini maana wao hawatumii paypal kama substitute wa kufanya payment,wao wanatumia direct deduction from your account na humlipi muuzaji direct bali unalipia amazon kwenyewe then amazon watamlipa muuzaji baada ya kuwatumi shipping bill,pia amazon unaweza kufungua claim au kesi na ukawa refunded DIRECTLY in your account kaka, amazon by far ni most expensive market kwa upande wa sellers,yaani kujisajili amazon kama muuzaji ni gharama na ukipewa reviews mbaya amazon wanakufungia shop account yako kama seller,hii ndio imepelekea amazon kuwa trusted zaidi marekani na kote zaidi hata ya ebay. amazon wana kitu inaitwa A-Z guarantee, usiwe na wasi wasi kabisa bwana njunwa wamavoko in amazon you are super safe mkuu chukua mzigo wako tu na utakufikia in time na as it is described. nilinunua tab iliyokuwa inauzwa na mtu sio amazon wenyewe ,ilikuwa termed used like new na kweli nilivyoifungua ilikuwa just as described.. pitia hii link pia kaka link- http://www.amazon.com/gp/help/customer/display.html?nodeId=537868

please naomba namba yako nahitaji kukuuliza maswahili zaidi kuhusu Amazon
 
Back
Top Bottom