celex
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 200
- 35
unafanya kwa Credit Card...Aliexpress hamna PAYPAL ila wana ESCROW ambao wao wanashika pesa kama Brokers mpaka buyer a confirm mzigo umefika na uko na similar descriptions wakati ananunua....
then ukishaupata una confirm umepokea ndio wanamlipa PESA YAKE MUUZAJI
na unaweza kufungua KESI (dispute) ikiwa una mashaka na item yako uliyopokea LI EXPRESS wakishirikiana na ESCROW watakusaidia kupata aidha refund au new item from seller
naomba contacts zako nahitaji kufahamu zaidi kuhusu Aliexpress na mimi niagize mzigo