Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,691
- 2,967
Kiukweli sijawahi kukadiriwa kodi. Toka nimeanza kununua labda buku jero tu mara nyingine inahitajiwa na posta na mara nying naagiza vitu vidogo vidogo tu
Mimi natumia posta
Usalama wa mali nauona kwasasa posta wamejiimarisha na sijawahi kuibiwa mpaka sasa
Ndio boss pia waweza tumia dhl inachukua 7days tuMkuu so naweza Nunua simu ya Milion moja nje na nikaipokea posta kama kawaida??
alibaba sijawahi huwa natumia aliexpressHivi ukiagiza mzigo alibaba ni wewe mteja wachagua kampuni ya kukusafirishia mzigo au wao ndio wanachagua?
Unaweza kupata mkuu pita utizameMkuu nataka Niagize Simu Nokia Lumia Xl 950,vipi Naweza Nikapata Mpya kabisa au inakuwa used tayari ishatumika?
Kuanzia elfu 70 mpaka laki nahivi ukiagiza simu then shipping by DHL huwa wana charge bei kwa kadirio la kawaida?
Hakuna wizi.wadau vp kuhusu wizi wa posta zetu? Bd upo?
TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZInahitaji kufanya manunuzi mtandaoni kupitia alibaba nahitaji kujua mambo yote ya muhumu kuwa nayo na jinsi ya malipo na kupokea mizigo
Hivyo vipengele hapo mkuuUsaidiweje? Au tatizo ni lugha? Elezea vizur upate msaada
Contact Name?p.o box? City? Street name?Hivyo vipengele hapo mkuu
Kwenye invoice hapa pia kuna bill of ladding kama mzigo unakuja kwa meli ambayo ni kawaida kwa vitu vya Alibaba. It take 1.5 to 3 months kwa mzigo kufika kutoka uchina. Siku hizi kuna kutumia whatsapp pia wakati mnajadiliana na muuzaji halafu mkitaka kufanya transaction mnarudi kwenye platform ili uweze kuwa protected as a buyer. Ukituma hela nje ya mfumo wa Alibaba, likitokea tatizo hawatawajibikaTARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI
1. Mawasilino yanafanyika na muuzaji - Kwenye bidhaaa husika utaona mahala ambapo utaweza ku_wasiliana na muuzaji moja kwamoa
2. Muuzaji atakumia INVOICE ikiwa na ghalama yote (MANUNUZI + KUSAFIRISHA hadi bandari ya DSM)
3. Utafanya malipo - Kwa njia ya malipo mliyokubaliana na aMuuzaji
4. Mzigo wako utaandaliewa na kutumwa, iwapo unakuja kwa njia ya maji basi huchukua wiki 5 hadi 7 kufika nchini
5. Baada ya mzigo kufika nchini ndipo taratibu za kuutoa mzigo bandarini unafanyika - Inatakiwa uwe na agent
6. Kuutoa bandari mzigo huwa kuna ghalama zake - Zita ainishwa na agent wako
7. Mwisho utalipia KODI/ VAT kutegemea na hesabu utakayopewa na TRA
KARIBU
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Kabla hujanunua bidhaa angalia kwanza seller rate na feedbackHahaha kiongozi hujawai nyoshwa Aliexpress ndo maana . Nina mzigo nili nunua kwa huyu seller YANJIAO YANJIAO Store ni mwaka sasa sijapokea mzigo tracking inaonesha ilikwamia Malaysia na nika chelewa kureport hvyo imekula kwangu
Aliexpress usiwe na wenge wakununua kwa kila muzaji ukimpata mmoja au wa nne walio kuletea mzigo vizuri ngangana na hao hao ila ukiwa una jaribu jaribu kama mm uta umia.
Amazon na Ebay ni nzuri lakini skuiz pia products nyingi za amazon na ebay zinatoka aliexpress.
Ingawa ziko bidhaa za US ambazo ni ni nzuri na durable kuliko za Aliexpress