Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,691
- 2,967
Mkuu so naweza Nunua simu ya Milion moja nje na nikaipokea posta kama kawaida??
Kiukweli sijawahi kukadiriwa kodi. Toka nimeanza kununua labda buku jero tu mara nyingine inahitajiwa na posta na mara nying naagiza vitu vidogo vidogo tu
Mimi natumia posta
Usalama wa mali nauona kwasasa posta wamejiimarisha na sijawahi kuibiwa mpaka sasa