Lawrance franci
Member
- Oct 14, 2011
- 98
- 121
Posta wapi unaenda kuulizia. Niliagiza kitu sasa kwenye tracking wameniambia kwamba mzigo wangu uko customs wameuhold.Mkuu mm nina mwezi toka niende posta kuulizia kama bado wanapokea mizigo,
Niliambiwa bado,maana ni.mdau mkubwa wa kuagiza vitu toka china kupitia aliexpress. Kumbuka mizigo midogo midogo huja kwa ndege, na mara nyingi ni 2weeks unapokea, ila kwa sasa usafiri wa ndege changamoto,
Kiufupi mizigo inafika ila tatizo lipo Bongo Pale Posta ndo Inakaa sanaaaPosta wapi unaenda kuulizia. Niliagiza kitu sasa kwenye tracking wameniambia kwamba mzigo wangu uko customs wameuhold.
Sasa mkuu kama mzigo ni chini ya kilo inakuaje?tumien unique cargo kwenye usafir ndo suluhisho la kudumu
1. Master Card Ni Master Card, Ukiweka Tu Zile Namba Yenyewe Itafanya Auto Detected Itakwambia Nan Anahusika Nayo (Local Provider), Kama Ni NMB, AIRTEL AU MPESA.
2. Aliexpress Standard Shipping Ni Yao Wao Aliexpress Wanaiita Cainiao, Seller Wanaipenda Hiyo Kwa Sababu Usalama Na Partnership Na Aliexpress, Haina Tracking Hii, Mzigo Utau Track Ukifika Kweny Departed To Country Of Origin Una Stuck Hapo Mpaka Utakapofika
Tanzania, Ila Premium Ni Kama VIP, Siku 7 Had 15 Utapokea Mzigo Na Utaangalia Process Zote Zinazoupitia Inagwaje Ndio Hivyo Gharama.
3. Free Shipping Ipo Ila Haina Guarantee Mzigo Wako Unaweza Kuupata Baada Ya Muda Mrefu Au Usiupatae Kabisa, Free Ni Risk Better Ukatumia Hiyo Standard Shipping, Ukitaka Kutumia Singapore Post Chat Na Seller Wako Mueleze Nin Unahitaji Yeye Anaweza Ku Add Pale Na Hiyo Singapore Post, DHL, Ups Etc.
NB: Kama Hauna Haraka Unaweza Kuongea Na Seller Ukatumia Hawa Jamaa Wa Silent Ocean, Nipo Nao Naona Wako Vizuri.
hata iwe mbovu vipi haiwezi fikia iyo beiKuna hii kitu kupitia market ya eBay naomba ufafanuzi
Kwamba iPhone unaipata kwa USD 8
Is it true au ni scammer tu
Cheki picha chiniView attachment 1546049
Master card ni master card, maana kampuni ya master card ni moja tu wengine mawakala...Wakuu habari za wakati.
Mimi nataka kuagiza simu kupitia app ya Ali Express
Kwenye upande wa payment kulikua na option ya web money na nyingine ya visa, Master card ect
Nimeiweka Master card yng ya Crdb na ku isave kwa ajili ya malipo mengine
Je ni salama?
Maana nimeona watu wakitumia M- pesa Master?
Je, hii ni njia bora kuliko zingine?
Na sikuona hii option ya Mpesa Master card labda mtu anieleweshe vzr
Pia kweny shipping naona ipo ya ali express standards shipping (unavailable tracking) na Ali Express primeum (available tracking number)
Swali je Ali Express hana free shipping?
Na je vipi kuhusu izo Singapore Post mbona haipo option yke?
Naomba kueleweshwa
Maana seller karibu wote nilio waona wanatumia ali express standards shipping
Note: Mimi sijawahi kufanya hiki kitu naitaji muongozo!
hapo kwenye kutoupata sio kwel kaka ila free unaweza kaa hata miez 6 ukawa hujapokea mzgo ila utaupata tu ila kupotea ngum sana1. Master Card Ni Master Card, Ukiweka Tu Zile Namba Yenyewe Itafanya Auto Detected Itakwambia Nan Anahusika Nayo (Local Provider), Kama Ni NMB, AIRTEL AU MPESA.
2. Aliexpress Standard Shipping Ni Yao Wao Aliexpress Wanaiita Cainiao, Seller Wanaipenda Hiyo Kwa Sababu Usalama Na Partnership Na Aliexpress, Haina Tracking Hii, Mzigo Utau Track Ukifika Kweny Departed To Country Of Origin Una Stuck Hapo Mpaka Utakapofika
Tanzania, Ila Premium Ni Kama VIP, Siku 7 Had 15 Utapokea Mzigo Na Utaangalia Process Zote Zinazoupitia Inagwaje Ndio Hivyo Gharama.
3. Free Shipping Ipo Ila Haina Guarantee Mzigo Wako Unaweza Kuupata Baada Ya Muda Mrefu Au Usiupatae Kabisa, Free Ni Risk Better Ukatumia Hiyo Standard Shipping, Ukitaka Kutumia Singapore Post Chat Na Seller Wako Mueleze Nin Unahitaji Yeye Anaweza Ku Add Pale Na Hiyo Singapore Post, DHL, Ups Etc.
NB: Kama Hauna Haraka Unaweza Kuongea Na Seller Ukatumia Hawa Jamaa Wa Silent Ocean, Nipo Nao Naona Wako Vizuri.
Itakuwa cover sio simu.Kuna hii kitu kupitia market ya eBay naomba ufafanuzi
Kwamba iPhone unaipata kwa USD 8
Is it true au ni scammer tu
Cheki picha chiniView attachment 1546049
Free Shipping Ni Sawa Na Loose Cargo Kwenye C&F Mkuuhapo kwenye kutoupata sio kwel kaka ila free unaweza kaa hata miez 6 ukawa hujapokea mzgo ila utaupata tu ila kupotea ngum sana
Hii ni zile toys za dukani kwa ajili ya show kwa wateja..sio simu.Kuna hii kitu kupitia market ya eBay naomba ufafanuzi
Kwamba iPhone unaipata kwa USD 8
Is it true au ni scammer tu
Cheki picha chiniView attachment 1546049