Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

🇻 🇮 🇩 🇪 🇴 🇱 🇮 🇬 🇭 🇹

-With Betri + charge
PRICE 285,000/=

With TRIPOD STAND
80,000/=

*ZIPO PIA CAMERA AINA ZOTE*
NA VIFAA VYA PRODUCTION

_CHECK US_
Location😀SM
 
Mkuu mm nina mwezi toka niende posta kuulizia kama bado wanapokea mizigo,
Niliambiwa bado,maana ni.mdau mkubwa wa kuagiza vitu toka china kupitia aliexpress. Kumbuka mizigo midogo midogo huja kwa ndege, na mara nyingi ni 2weeks unapokea, ila kwa sasa usafiri wa ndege changamoto,
Posta wapi unaenda kuulizia. Niliagiza kitu sasa kwenye tracking wameniambia kwamba mzigo wangu uko customs wameuhold.
 
Tunafunga Gps car tracking system kwa siri ili kuzingatia ulinzi na kujua mwenendo wa gari , bajaji, pikipiki yako kwa bei nafuu.
Tupo Dar Es Salaam na pia kwa mikoani tuna mawakala wetu.

Kuona speed
Kuona Sehem gari/bajaji/pikipiki yako ilipo
Kuizima na kuiwasha
Kujua routes
Kuipigia sim na kupigiwa sim
Geo fance
Engine status etc.

Pia tunafunga kujua mwenendo wa mafuta

Piga 0766003375
 
Wakuu habari za wakati.

Mimi nataka kuagiza simu kupitia app ya Ali Express

Kwenye upande wa payment kulikua na option ya web money na nyingine ya visa, Master card ect

Nimeiweka Master card yng ya Crdb na ku isave kwa ajili ya malipo mengine
Je ni salama?

Maana nimeona watu wakitumia M- pesa Master?

Je, hii ni njia bora kuliko zingine?

Na sikuona hii option ya Mpesa Master card labda mtu anieleweshe vzr

Pia kweny shipping naona ipo ya ali express standards shipping (unavailable tracking) na Ali Express primeum (available tracking number)

Swali je Ali Express hana free shipping?
Na je vipi kuhusu izo Singapore Post mbona haipo option yke?
Naomba kueleweshwa

Maana seller karibu wote nilio waona wanatumia ali express standards shipping

Note: Mimi sijawahi kufanya hiki kitu naitaji muongozo!
 
1. Master Card Ni Master Card, Ukiweka Tu Zile Namba Yenyewe Itafanya Auto Detected Itakwambia Nan Anahusika Nayo (Local Provider), Kama Ni NMB, AIRTEL AU MPESA.

2. Aliexpress Standard Shipping Ni Yao Wao Aliexpress Wanaiita Cainiao, Seller Wanaipenda Hiyo Kwa Sababu Usalama Na Partnership Na Aliexpress, Haina Tracking Hii, Mzigo Utau Track Ukifika Kweny Departed To Country Of Origin Una Stuck Hapo Mpaka Utakapofika
Tanzania, Ila Premium Ni Kama VIP, Siku 7 Had 15 Utapokea Mzigo Na Utaangalia Process Zote Zinazoupitia Inagwaje Ndio Hivyo Gharama.

3. Free Shipping Ipo Ila Haina Guarantee Mzigo Wako Unaweza Kuupata Baada Ya Muda Mrefu Au Usiupatae Kabisa, Free Ni Risk Better Ukatumia Hiyo Standard Shipping, Ukitaka Kutumia Singapore Post Chat Na Seller Wako Mueleze Nin Unahitaji Yeye Anaweza Ku Add Pale Na Hiyo Singapore Post, DHL, Ups Etc.

NB: Kama Hauna Haraka Unaweza Kuongea Na Seller Ukatumia Hawa Jamaa Wa Silent Ocean, Nipo Nao Naona Wako Vizuri.
 
Shukrani mkuu niki kwama ntakucheki

Kuna hii kitu kupitia market ya eBay naomba ufafanuzi
Kwamba iPhone unaipata kwa USD 8
Is it true au ni scammer tu

Cheki picha chini
Screenshot_20200823-175247.jpeg
 
Wakuu habari za wakati.

Mimi nataka kuagiza simu kupitia app ya Ali Express

Kwenye upande wa payment kulikua na option ya web money na nyingine ya visa, Master card ect

Nimeiweka Master card yng ya Crdb na ku isave kwa ajili ya malipo mengine
Je ni salama?

Maana nimeona watu wakitumia M- pesa Master?

Je, hii ni njia bora kuliko zingine?

Na sikuona hii option ya Mpesa Master card labda mtu anieleweshe vzr

Pia kweny shipping naona ipo ya ali express standards shipping (unavailable tracking) na Ali Express primeum (available tracking number)

Swali je Ali Express hana free shipping?
Na je vipi kuhusu izo Singapore Post mbona haipo option yke?
Naomba kueleweshwa

Maana seller karibu wote nilio waona wanatumia ali express standards shipping

Note: Mimi sijawahi kufanya hiki kitu naitaji muongozo!
Master card ni master card, maana kampuni ya master card ni moja tu wengine mawakala...
 
1. Master Card Ni Master Card, Ukiweka Tu Zile Namba Yenyewe Itafanya Auto Detected Itakwambia Nan Anahusika Nayo (Local Provider), Kama Ni NMB, AIRTEL AU MPESA.

2. Aliexpress Standard Shipping Ni Yao Wao Aliexpress Wanaiita Cainiao, Seller Wanaipenda Hiyo Kwa Sababu Usalama Na Partnership Na Aliexpress, Haina Tracking Hii, Mzigo Utau Track Ukifika Kweny Departed To Country Of Origin Una Stuck Hapo Mpaka Utakapofika
Tanzania, Ila Premium Ni Kama VIP, Siku 7 Had 15 Utapokea Mzigo Na Utaangalia Process Zote Zinazoupitia Inagwaje Ndio Hivyo Gharama.

3. Free Shipping Ipo Ila Haina Guarantee Mzigo Wako Unaweza Kuupata Baada Ya Muda Mrefu Au Usiupatae Kabisa, Free Ni Risk Better Ukatumia Hiyo Standard Shipping, Ukitaka Kutumia Singapore Post Chat Na Seller Wako Mueleze Nin Unahitaji Yeye Anaweza Ku Add Pale Na Hiyo Singapore Post, DHL, Ups Etc.

NB: Kama Hauna Haraka Unaweza Kuongea Na Seller Ukatumia Hawa Jamaa Wa Silent Ocean, Nipo Nao Naona Wako Vizuri.
hapo kwenye kutoupata sio kwel kaka ila free unaweza kaa hata miez 6 ukawa hujapokea mzgo ila utaupata tu ila kupotea ngum sana
 
Free Shipping Ni Sawa Na Loose Cargo Kwenye C&F Mkuu

Kupata Mzigo Wako Au Kukosa Ni Bahat Nasibu Ndio Maana Free Shipping Nying Ukisoma Review Nying Ni Seller Amerudisha Pesa.

Nimezungumzia Experience Yangu.
 
Ivi ukinunua kitabu mtandaoni Kama huna hela ya wao kukutumia, unaweza ukakisoma kwa soft copy?
 
Pia Kama kuna mtu anajua hvi vitabu Chemistry demystified 2nd edition Kama vinapatkana madukani hapa Tanzania anijulishe
 
Jamani nani anajua masoko ya " Dubai " ya mtandaoni ya vitu vya jumla ?
 
Back
Top Bottom