Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)



Kwakuwa mzigo wako utakuja kwa njia ya DHL , Unajaza physical address na namba ya simu. Mzigo ukifika Tanzani utapigiwa simu kwa taratibu zaidi ili kupata mzigo wako.

Pitia kwenye site ya comgateway wametoa maelekzo ya kina jinsi ya kutumia anwani yao waliyokupa.
Shukran Mwl.RCT ngoja niendelee kula nondo[emoji120]
 
Habari, ndugu mimi nimekua natumia sana aliexpress kufanya manunuzi yangu sasa kuna baadhi ya bidhaa... Aliexpress bado hazijanishawishi na zengine hakuna. Sasa nimepata somo kidogo na nimeamua kujiunga na Amazon na nimeamua kuwatumia comgateway kama agent wangu ila naomba maelekezo kidogo kuna sehemu nakwama.

1.Mimi sina sanduku la posta sasa ninapo taka kuweka address yangu kule comgateway naweza weka details zipi kwa wale waliotumia hii munisaidie pamoja na zip code.

2. Jinsi ya kuiweka hii shipping adress niliyopewa na comgateway ya US vizuri bila kukosea kule Amazon.. Hapa pia nahitaji maelekezo...

Lakini pia hata ushaur kama kuna the best agent wa kuaminika wa hapa Tz ambaye anaweza kunisafirishia mizigo yangu toka US up to Tz munaweza muka nishaur nimtumie Agent yupi.

Ahsanten[emoji120]
Hapahapa mimi niswali kwako mzeee, mbona Amazon application wanatumia lugha ya kichina? Au mimi ndio nmekosea na je nmekosea wapi?
 
Nlishaagiza tablet kwenye e-bey na nguo ya mtoto kwenye alibaba.com, vyote nilivichukulia posta na sikuulizwa masuala ya ushuru wala bargaining yoyote.
Ingawa kunastory kwamba posta ni wapigaji ila sidhan kama kunaukweli
hi naomba nielekeze jinsi ya kununua vitu alibaba na e-bay
 
Ukishajaza hyo form inachukua 24 hours hadi kuwa activated, unaenda paypal unajoin na kuweka details za kadi yako. hapo unakuwa umekamilisha kila kitu. Ukiingia ebay unajoin na kujaza ur address na ukinunua kitu paypal ndo wanahusika kukukata hela na kuwalipa hao ulionunua kwao. Ila ukiingia amazon wao wanakata direct kwenye card. ila ni trustworth.

Onyo; Kumbuka kutojiunga kwenye mitandao ya kienyeji na kuweka details za kadi yako, wanajikatia hovyo. so far wa kuwatrust ni amazon tu kuwapa details za kadi yako wengine wote tumia paypal as a medium of payment.
nimekuelewa
 
1. Master Card Ni Master Card, Ukiweka Tu Zile Namba Yenyewe Itafanya Auto Detected Itakwambia Nan Anahusika Nayo (Local Provider), Kama Ni NMB, AIRTEL AU MPESA.

2. Aliexpress Standard Shipping Ni Yao Wao Aliexpress Wanaiita Cainiao, Seller Wanaipenda Hiyo Kwa Sababu Usalama Na Partnership Na Aliexpress, Haina Tracking Hii, Mzigo Utau Track Ukifika Kweny Departed To Country Of Origin Una Stuck Hapo Mpaka Utakapofika
Tanzania, Ila Premium Ni Kama VIP, Siku 7 Had 15 Utapokea Mzigo Na Utaangalia Process Zote Zinazoupitia Inagwaje Ndio Hivyo Gharama.

3. Free Shipping Ipo Ila Haina Guarantee Mzigo Wako Unaweza Kuupata Baada Ya Muda Mrefu Au Usiupatae Kabisa, Free Ni Risk Better Ukatumia Hiyo Standard Shipping, Ukitaka Kutumia Singapore Post Chat Na Seller Wako Mueleze Nin Unahitaji Yeye Anaweza Ku Add Pale Na Hiyo Singapore Post, DHL, Ups Etc.

NB: Kama Hauna Haraka Unaweza Kuongea Na Seller Ukatumia Hawa Jamaa Wa Silent Ocean, Nipo Nao Naona Wako Vizuri.
Hv mizigo mnayoongelea ni aina gani? Hata mizigo mizito km baiskeli, pikipiki, ream n.k?
 
Naomba wajuzi mnijuze faida ya kununua bidhaa mtandaoni kwa mm mjasiliamali ambaye nahitaji kuboresha biashara yangu ya umachinga yaani duka bila flem wala leseni ya biashara zaidi ya kitambulisho cha mh
 
bidhaa mtandaoni kwa mm mjasiliamali ambaye nahitaji kuboresha biashara yangu ya umachinga yaani duka bila flem wala leseni ya biashara zaidi ya kitambulisho
Hakuna faida, ni vyema ukawa na chimbo kariakoo ambako utakuwa unachukua mzigo wa kuzungusha.
 
Kila caurier wanoprovide tracking no maana yake unaweza kuutrack mzigo wako step by step kwenye site yao mpaka unafika unapotakiwa kufika.

But kuna baadhi ya posts ni vigumu kutrack mzigo kwenye site zao kama china post sababu ya language na sijaona sehemu ya kubadili language kua english and so on hivyo nashauri download app inaitwa "17 track" inapatikana playstore. Hii itakusaidia kutrack oder zako kwa wakati mmoja na ina option ya kutranslate any language kuwa english, inakutumia notification kila hatua inayopitia mzigo wako.

Yah kama mzigo umetumiwa kwa posta mfano USPS utaupokea posta

Fedex utapokea kwenye ofisi zao mzigo ukifika utapigiwa simu

DHL naskia wanakuletea mpaka ulipo sina uhakika juu ya hili wanaojua watatuambia

Mzigo ukichelewa kufika track no itakusaidia kujua mzigo wako wapi ulipo

Hope nimejitahid kuelezea kidogo kwa ninachokifahamu
natamani kuagiza vitu lkn sijui naanzia wp
 
NAUZA CARWASH MPYA YA KISASA
MAELEZO: UJENZI, MACHINE ZOTE, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k
JUMLA: TZS 8,000,000

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
CALL: 0717 26 33 77
 
Back
Top Bottom