1. Master Card Ni Master Card, Ukiweka Tu Zile Namba Yenyewe Itafanya Auto Detected Itakwambia Nan Anahusika Nayo (Local Provider), Kama Ni NMB, AIRTEL AU MPESA.
2. Aliexpress Standard Shipping Ni Yao Wao Aliexpress Wanaiita Cainiao, Seller Wanaipenda Hiyo Kwa Sababu Usalama Na Partnership Na Aliexpress, Haina Tracking Hii, Mzigo Utau Track Ukifika Kweny Departed To Country Of Origin Una Stuck Hapo Mpaka Utakapofika
Tanzania, Ila Premium Ni Kama VIP, Siku 7 Had 15 Utapokea Mzigo Na Utaangalia Process Zote Zinazoupitia Inagwaje Ndio Hivyo Gharama.
3. Free Shipping Ipo Ila Haina Guarantee Mzigo Wako Unaweza Kuupata Baada Ya Muda Mrefu Au Usiupatae Kabisa, Free Ni Risk Better Ukatumia Hiyo Standard Shipping, Ukitaka Kutumia Singapore Post Chat Na Seller Wako Mueleze Nin Unahitaji Yeye Anaweza Ku Add Pale Na Hiyo Singapore Post, DHL, Ups Etc.
NB: Kama Hauna Haraka Unaweza Kuongea Na Seller Ukatumia Hawa Jamaa Wa Silent Ocean, Nipo Nao Naona Wako Vizuri.