Karibu FAGO EXPRESS tunakuagizia mizigo / bidhaa zako ndani ya siku 3-5 umeipata tupo kariakoo krb na kituo cha polisi msimbazi B Whatsapp+255765018958Habari wakuu. Naomba muongozo wa kununua vitu alibaba. Pia kingine kinanichanganya ni pale shipping inakua very expensive compared na bei ya bidhaa.. pia hapo naomba msaada wa kupata cheaper shipping agent.
Kanunue kwa watchina Kariakoo. Hakuna utakachokosa kutoka kwa mchina. Wewe mpelekee picha atakuleteaHabari wakuu. Naomba muongozo wa kununua vitu alibaba. Pia kingine kinanichanganya ni pale shipping inakua very expensive compared na bei ya bidhaa.. pia hapo naomba msaada wa kupata cheaper shipping agent.
Kwa wachina kariakoo ni wapiKanunue kwa watchina Kariakoo. Hakuna utakachokosa kutoka kwa mchina. Wewe mpelekee picha atakuletea
Amazon kama ipo shipped na Amazon wenyewe ama Samsung ni halisi, Ebay angalia rating za sellerHv hizi bidhaa zinazouzwa kupitia Amazon na wengineo ni halisi.?
Mfano umeona simu ni Samsung ukaiagiza Je itakuja hy hy uliyoagiza ikiwa na specifications halisi au ndo utaletewa Tecno yenye nembo ya Samsung.?
umeweka account numbet sio card number... card namba ni zile tarakimu zinakaa kwenye atm card zipo 16Wakuu, kuna external nataka kununua kupitia aliexpres ila hapo kwenye kuweka namba ya benki inakataa, tatizo ni lipi hapo.?
View attachment 2786451
Shukrani sana mkuu, naona imekubalumeweka account numbet sio card number... card namba ni zile tarakimu zinakaa kwenye atm card zipo 16
Inabidi uagize iliupate majibu kila mtu akibaki kuliza mwezie itakua ngumu kujua.Hv hizi bidhaa zinazouzwa kupitia Amazon na wengineo ni halisi.?
Mfano umeona simu ni Samsung ukaiagiza Je itakuja hy hy uliyoagiza ikiwa na specifications halisi au ndo utaletewa Tecno yenye nembo ya Samsung.?
👇Inabidi uagize iliupate majibu kila mtu akibaki kuliza mwezie itakua ngumu kujua.
Wakuu, kwa mara ya kwanza leo nmeagiza bidhaa kupitia kikuu.
30k yangu naiskilizia kama nimepigwa au bidhaa yangu ntaipata baada ya muda walionipa
kikuu wanafikisha ila quality ndo kuna kupata na kukosaWakuu, kwa mara ya kwanza leo nmeagiza bidhaa kupitia kikuu.
30k yangu naiskilizia kama nimepigwa au bidhaa yangu ntaipata baada ya muda walionipa
Liwalo na liwe 😎kikuu wanafikisha ila quality ndo kuna kupata na kukosa
Kati ya kesho au kesho kutwa mzigo utakufikiaWakuu, nmeagiza bidhaa kupitia kikuu sasa ntajuaje kuwa mzigo wangu umeshafika hvy natakiwa kwenda kuuchukua
View attachment 2797572
Hv hua kuna kupigiwa simu kuwa mzigo umefika nkachukue.?Kati ya kesho au kesho kutwa mzigo utakufikia