Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Ndio sema kwa bei reasonable ije na meli, ukitoa uzito urefu na upana wa package unajua?

Kwa watu wa loose cargo ni around dola 400 kwa CBM kusafirisha, CBM ni upana mita 1, urefu mita 1.

Description ni hapo machine ya 3. Mnawezakunisaidia agency anawezakuusafirisha huo mzigo to tz. Niongee nae naskie gharama zake maana hawa naochat nao gharama zao ni kubwa mno. Zaidi ya thamani ya mzigo wenyewe.
 
Nilitumia VISA card mkuu, wametoa hiyo ARN. So j3 ntaenda bank kuwapa hizo informations
 
View attachment 3317236
Description ni hapo machine ya 3. Mnawezakunisaidia agency anawezakuusafirisha huo mzigo to tz. Niongee nae naskie gharama zake maana hawa naochat nao gharama zao ni kubwa mno. Zaidi ya thamani ya mzigo wenyewe.
Mahesabu ya haraka ni 1.5m3 hapo hauja kuwa packed, pamoja na packaging pengine ufike cubic metre mbili.
 
Mnawezakunisaidia agency anawezakuusafirisha huo mzigo to tz. Niongee nae naskie gharama zake maana hawa naochat nao gharama zao ni kubwa mno.
Kitu cha kuzingatia ni hiki:
- 1 CBM ni kati ya USD360 hadi USD500
Description ni hapo machine ya 3.

Kama hii ndio machine husika.

Hesabu yake ni hii:
---
To calculate the CBM (Cubic Meters) based on the dimensions 1200mm x 780mm x 1600mm, we follow these steps:

1. Convert the dimensions to meters:​

  • 1200 mm = 1.20 m
  • 780 mm = 0.78 m
  • 1600 mm = 1.60 m

2. Calculate the CBM (Cubic Meters):​

CBM = Length Γ— Width Γ— Height
CBM = 1.20 m Γ— 0.78 m Γ— 1.60 m
CBM = 1.5104 mΒ³

So, the CBM for these dimensions is 1.5104 mΒ³.
---
- Ila huwa tunasema hivi , hesabu utakayopata ongeza asilimia 10% sababu packaging huongeza hesabu.
 
Habari mkuu!,nahitaji msaada wa kuagiza laptop HP spectre X360 used kwa Core i5 au I7 storage ikiwa SSD 512,
Bajet nina 1.2m,,Unaweza kunishauri vile vile Kama unaona kuna aina nyingine zaidi au niongeze, kiasi gani
 
  • Delivery: Ndani ya siku 7-10
  • Njia ya Malipo: Bank deposit au Mobile transfer (Utachagua)

- Utapata hii hapa:

Used HP EliteBook x360 1040 G7 Laptop - Intel Core i7 10th Gen, 16GB RAM, 512GB SSD
  • Brand: HP
  • Series: EliteBook
  • Model: x360 1040 G7
  • Condition: Used
  • Processor: Intel Core i7 (10th Generation)
  • RAM: 16GB
  • Storage: 512GB SSD

Kiasi cha kulipia ni TZS. 1,293,300 ( Haya ni malipo hadi inakufikia Mkononi iwapo Upo Dar, Kama upo mkoani mzigo ukifika utatumiwa kwa Basi au EMS gharama utajulishwa siku mzigo umefikishwa ofisi za basi husika au EMS na utalipia)

Asante
Asante Sana mkuu mpka mwez wa saba tutafanya biashara
 
Msaada naomba kuelekezwa jinsi ya kununua bizaa kwenye app ya alibaba.πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™
 
Msaada naomba kuelekezwa jinsi ya kununua bizaa kwenye app ya alibaba.πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™
Unaweza sema umekwama kipengele kipi ili nijue pa kuanzia au ni mgeni kabisa unataka upatiwe msaada kuanzia hatua ya kujisajili na kuweka anuani zako na mengineyo?
 
Mkuu ni mizigo gani ambayo tanzania haipo had uagize nje au kukwepa gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…