Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnaznguaJaribu kama tangia utotoni haujaliaga mpaka leo na umamiss kulia.
All the best
Kama hajui c ukae kmyaJaribu uone kama utafika, hapo utapata jibu
Nilisikia et unaweza kuandika mkoa unaotoka na namba ya simumkuu kama huna address unataka mzigo ukufikie vipi sasa??
yani mtumiaji atumie njia gani kukupata?
Wala ucjar ndugu sina box namba ila nilisikia kuwa unaweza weka namba ya Simu na mkoa unatokaMkuu mimi sikupingi ila nahisi una uelewa mdogo wa mambo au la sivyo hujui kuuliza.
Humu jf kuna watu wanajua mambo mengi kwelikweli , sasa chakufanya tafuta namna nzuri ya kuuliza swali lako.
naamini unaeza ukawa na point ya mana ila kwa jinsi ulivyouliza huezi pata jibu sahihi hapa
Nsamehe kama nimekukwaza
Wakati wowote ukitaka kuagiza bidhaa kutoka AMAZON, BESTBUY usisite kuwasiliana nami .Nikitaka kununua vitu Amazon. Com nikiwa Tanzania nafanyaje wajuzi tusaidiane. Kuna mawakala wao Tanzania?
Ndio inawezekana.Hivi naweza kufanya manunuzi online kwa kuandika sehemu nilipo bila kuwa na box namba na mzigo ukafika
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kijinga hujibiwa jibu la kijinga. Swali lako la kijinga
Mkuu vipi salama uko! Mbna unarudia umo kwa umo kama unapiga msuaki.Kwa wanunuz wa aliexpress na alibaba muagizapo mzigo inachukua siku ngapi mzigo kufika?
Jee ukilipia shipping cost itachukua siku ngp
Free shipping je
Naomba kama umewahi kununua bidhaa naomba kujua uzoefu wako kwamba ilichukua siku ngapi?