Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Hakuna njia ya nafuu zaidi ya kulinganisha na posta.Je kama hauna postal,ni njia gani nyingine ya kutumia kwa gharama nafuu sawa na posta ili mzigo ukufikie?
Sio kweli, Asilimia 95 ya mizigo yangu huja kwa njia ya posta, na yote inafika salama na asilimia 5 huja kwa njia zingine.Wanasema mizigo mingi ikifika pale posta uibiwa, je ni kwel?
Swala la ushuru ni changamoto.Je utaratibu wa kujua ushuru wa kitu ulichonunua au unachotaka kununua, uko vipi?
Waweza nunua bidhaa yenye thamani ya USD300, mzigo ukifika nchini wanauthaminisha upya na kuambiwa una thamani ya USD 700,Uplifting, hivyo kiwango cha kodi kitatokana na hicho kiwango kipya.
Kwa mfano(maelezo) ya hesabu ya kodi ingia hapa:
Ili kuagiziwa bidhaa ingia hapa:
KARIBU