Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Je kama hauna postal,ni njia gani nyingine ya kutumia kwa gharama nafuu sawa na posta ili mzigo ukufikie?
Hakuna njia ya nafuu zaidi ya kulinganisha na posta.
Wanasema mizigo mingi ikifika pale posta uibiwa, je ni kwel?
Sio kweli, Asilimia 95 ya mizigo yangu huja kwa njia ya posta, na yote inafika salama na asilimia 5 huja kwa njia zingine.
Je utaratibu wa kujua ushuru wa kitu ulichonunua au unachotaka kununua, uko vipi?
Swala la ushuru ni changamoto.
Waweza nunua bidhaa yenye thamani ya USD300, mzigo ukifika nchini wanauthaminisha upya na kuambiwa una thamani ya USD 700,Uplifting, hivyo kiwango cha kodi kitatokana na hicho kiwango kipya.

Kwa mfano(maelezo) ya hesabu ya kodi ingia hapa:
Ili kuagiziwa bidhaa ingia hapa:
KARIBU
 
Hakuna njia ya nafuu zaidi ya kulinganisha na posta.

Sio kweli, Asilimia 95 ya mizigo yangu huja kwa njia ya posta, na yote inafika salama na asilimia 5 huja kwa njia zingine.

Swala la ushuru ni changamoto.
Waweza nunua bidhaa yenye thamani ya USD300, mzigo ukifika nchini wanauthaminisha upya na kuambiwa una thamani ya USD 700,Uplifting, hivyo kiwango cha kodi kitatokana na hicho kiwango kipya.

Kwa mfano(maelezo) ya hesabu ya kodi ingia hapa:
Ili kuagiziwa bidhaa ingia hapa:
KARIBU
Ahsante sana kaka..........Pia kuna shida nyngne nimeona items nyngi nazotaka kununua mm ni ship from:USA
Ship to:USA
Je kwa product hii naipataje mm nilioko TZ coz a seller amecondition shipping to USA

or nyingine hazija mention TZ kwenye shipping to
 
Ahsante sana kaka..........Pia kuna shida nyngne nimeona items nyngi nazotaka kununua mm ni ship from:USA
Ship to:USA
Utapata bidhaa kupitia huduma yangu ya BUY4ME: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mzigo waweza kuwa nchi yeyote kati ya hizi
- AUSTRALIA
- USA
- FRANCE
- GERMANY
- UK
- JAPAN
- KOREA
- INDIA etl
Nitanunua, nitakusafirishia, Nitafanya clearance (hapa nchini) na mzigo utaupokea kwa wakati.

Maelekezo zaidi yapo kwenye hii link: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
kwa gharama ya kiasi gani interms of percent unagharimu?
 
Screenshot_20180323-161629.jpg
Screenshot_20180323-161619.jpg

Niseme me ni mgeni wa hivi vitu. Naombeni ufafanuzi jamani.
Je ukinunua bidhaa hapo. Itakufikia kweli??.
Itafikaje fikaje na uaminifu wao ukoje.
Na Kama ulishawahi nunua ukaletewa nipe ushuhuda
Ahsanten
 
Kununua ni rahisi tu unahitaji kuwa na VISA/MASTERCARD iliyowezeshwa kufanya online payment (NBC,NMB,CRDB, EQUITY nk) utaenda benki watakujazisha form, pia hakikisha usalama wa kadi yako kwa kutumia paypal au websites zenye centralized payment system +Buyer protection policies. ila kuna baadhi ya online merchants/sellers inabidi uwe na moyo wa chuma, mfano mojawapo payment nimefanya tarehe 20 january ndo kwanza mzigo unafika customs office Dar-es-salaam leo.

3/23/2018 10:31 AM Arrival at inward office of exchange DARES SALAAM
3/23/2018 11:57 AM Departure from inward office of exchange DARES SALAAM

kwa maelezo mazuri fuata link ya uzi huu iliyoanzishwa humuhumu JF.
 
Je ukinunua bidhaa hapo. Itakufikia kweli??.
Ndio bidhaa zinafika.
Itafikaje fikaje na uaminifu wao ukoje.
Tumia website sahihi, na taratibu sahihi za kufanya malipo mtandaoni. Uaminifu ni asilimia 100% kwa bidhaa utakayolipia.
Na Kama ulishawahi nunua ukaletewa nipe ushuhuda
Ahsanten
Kila siku nafanya manunuzi, Kila wiki napokea bidhaa.
Pitia hii thread: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Kununua ni rahisi tu ila kuna baadhi ya website inabidi uwe na moyo wa chuma aisee, payment nimefanya tarehe 20 january ndo kwanza mzigo unafika custums office Dar-es-salaam leo.
Mzigo kuchelewa ni tatizo la mnunuzi kutochagua njia sahihi ya usafirishaji wa bidhaa.
Wengi wetu tunapenda kuchagua free shipping, matokeo yake ni mzigo kufika baada ya wiki 6 na zaidi.

Pitia hii thread kuna ya kujifunza: Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)

Hapo angalia post namba 15 ya ndugu Brakelyn
 
Ilikuwa Registered airmail kupitia POSTNL, I wonder kwanini imechukua muda mrefu, nimekuwa nikitumia Netherlands post for years haijawahi zidi siku 25. Japo seller pia alisababisha (processing time from 20 januaryto 8th february).
 
Kununua ni rahisi tu unahitaji kuwa na VISA/MASTERCARD iliyowezeshwa kufanya online payment (NBC,NMB,CRDB, EQUITY nk) utaenda benki watakujazisha form,pia hakikisha usalama wa kadi yako kwa kutumia paypal au websites zenye centralized payment system +Buyer protection policies. ila kuna baadhi ya online merchants/sellers inabidi uwe na moyo wa chuma ,mfano mojawapo payment nimefanya tarehe 20 january ndo kwanza mzigo unafika customs office Dar-es-salaam leo.
3/23/2018 10:31 AM Arrival at inward office of exchange DARES SALAAM
3/23/2018 11:57 AM Departure from inward office of exchange DARES SALAAM
kwa maelezo mazuri fuata link ya uzi huu iliyoanzishwa humuhumu JF.
Asante sana sana
 
@Super women 2: kwa vitu vya UK fanya manunuzi online unayotaka sisi tutakutumia inachukua wiki tu mzigo kufika bei kwa zenji ni £4 ila kwa dar ni £5 sasa ukitaka kuuchukua mwenyewe zanzibar basi ni vizuri itakupunguzia muda wa kusubiri.
 
hizo pound 4 ni kwa kilo au kwa cbm.. toa maelezo yaliyoshiba tufanye uamuzi
 
Hizi ndo contact zetu kwa dar na UK tunapatikana whattsup pia kwa namba zote hizo
IMG_20180121_222432_170.jpg
IMG_20180121_222313_524.jpg
 
Sawa.

Back
Top Bottom