Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Arusha haikufaa kuwa jiji.Mitaa mingi Giza..hakuna taa za barabarani
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arusha haikufaa kuwa jiji.Mitaa mingi Giza..hakuna taa za barabarani
ukaenda kugoogle kabisa🤣🤣🤣
nyie jifungieni tu huko kwenye umaskini huko ziwani
1. Nyamhongo bus terminalukaenda kugoogle kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tangu lini umeona blogs za wazungu zikaongea mazuri kuhusu afrika
au unataka niwakumbushe wasukuma kuhusu video ya mapanki[emoji6]
Mi nawaambiaga milele na milele huo mkoa wenu wa maskini hautaifikia Arusha [emoji26] ndo maana kila siku mnatupostia masoko na stendi mnasahau watu wenu wanajisaidia ziwani[emoji1787]
View attachment 2022875
View attachment 2022876
View attachment 2022877
View attachment 2022878
View attachment 2022879
View attachment 2022880
View attachment 2022882
View attachment 2022883
View attachment 2022884
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hauna picha nyingineniliona nisikujibu sababu nachat na punguani anayejibu kishabiki badala ya hoja
angalia picha za unazoziita barabara uchwara na hii ndio nimekuwekea ya mwisho siwezi jibizana na mtu asiye na mantiki sawa braza wangu unayetoka kwenye mkoa maskini afrika [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2022855
Huo uchafu wa nini?nyie jifungieni tu huko kwenye umaskini huko ziwani
watu wanatoka nje kula bata Arusha nyie mnajitia na stori za vijiweni[emoji26] zama za kanda pendwa zishaisha shauri yenu
ndio maana mnaongozaga kwa umaskini muwe mnatabia ya kutoka ona sasa[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2022901
View attachment 2022902
View attachment 2022903
View attachment 2022904
View attachment 2022905
View attachment 2022906
View attachment 2022907
Vipanya sio ushamba. Mbona south au nairobi vinatumika? Wewe ndio mshambaSister achana na stand ya daladala kuna mambo mengi hayapo sawa, Arusha haina stand kuu ya mabus yaani ni kila kampuni ya mabus ina stand yake na kushusha abiria na kuwapakiza kila kampuni inaamua sehemu yake kwa mfano BM coach, Dar Express na Kilimanjaro express ushusha abiria pale kwenye jengo la NHC pembeni ya Golden crest sehemu ambayo abiria akishuka inamlazimu kutembea hadi kilombero au klokoni kupata daladala ya route yake vivyo ivyo wanaoshushiwa stand ndogo.
Pia Arusha municipal wanafeli kwenye management ya masoko yao kwa mfano soko la kilombero mvua ikinyesha ni hapatoshi ni kuna tope balaa😂, kitu kingine Arusha waondoe vipanya bhana waweke coasters, waache ushamba coasters sio kwa ajili ya tourists tu.
Kitu nacho ipendea Arusha ina hali ya hewa nzuri, sema udongo wake sasa ni vumbi na tope😂ndo maana boots zinahusika sana,
Kama wakifanyia kazi ivyo vitu na hakika Arusha ni mkoa poa sana sema ndo ivyo imesaulika.
The Rocky City [emoji91] [emoji91] [emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hauna picha nyingine
Angalia mwanza upate somo ruksa kujikuna... napiga kwenye utosi [emoji38][emoji38]View attachment 2023004View attachment 2023005View attachment 2023007View attachment 2023008View attachment 2023010
Mara ya mwisho kutumia airport ya mwanza like two year's airport ilikuwa aibu Hilo jengo lake, so hongereni kwa improvement ya huo mjengoHauna hoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mji stand ya enzi za ujima soko ndio hivyo mikojo mingi
Angalia mafukara wakijengewa masoko,airport na stand [emoji3][emoji3]View attachment 2019786View attachment 2019789View attachment 2019790
Hivi sababu za kuwa ni Moja ya Ngome ya Chadema haiwezi kuwa kweliii????Kweli Kabisa sijajua ni uongozi au ni ukiritimba, ile stand kubwa ya mabasi ipo pale tokea kabla ya uhuru hadi leo ni ilele, ni kweli kila makampuni mengi yamejianzishia vituo vyao wenyewe ndani ya jiji.
Soko la kilombero ndo mwisho wa matatizo. Halina mpangilio kuanzia mwanzo wa soko hadi mwishowa soko ni vurugu mechi
Hata Mbeya stendi Yao ya mabasi ni ndogo sanaKweli Kabisa sijajua ni uongozi au ni ukiritimba, ile stand kubwa ya mabasi ipo pale tokea kabla ya uhuru hadi leo ni ilele, ni kweli kila makampuni mengi yamejianzishia vituo vyao wenyewe ndani ya jiji.
Soko la kilombero ndo mwisho wa matatizo. Halina mpangilio kuanzia mwanzo wa soko hadi mwishowa soko ni vurugu mechi
Mkuu nyumba za udongo zipo, mfano mitaa ya Ngusero, Mbauda, Sombetini kuna nyumba za udongo Hadi barabaraniuyo ameuliza kwa chuki binafsi ndio nilikua na sema pamoja na changamoto tulizonazo Arusha bado kwenye nyanja zingine tupo bora sana mfano halmashauri ya Arusha jiji ndio inayoongoza kwa kuwa na makazi bora nchi nzima sasa uyo anayesema aliona nyumba ya udongo Arusha basi ujue huko alipotoka kuna utitiri wa hizo nyumba na ndio maana hapa watu wenye constructive arguments ni wachache mtoa mada kasema Arusha hamna vituo mtu anachangia eti Arusha aliona nyumba ya udongo seriously [emoji1787] ni kweli Arusha inachangamoto na kubwa ni taa za barabarani ambazo mwezi huu wa 12 wanaanza kufunga mpya manake sio kwamba zilikua hazipo zilikuwepo ila zilikua haziwaki na kuhusu stendi ya kilombero it's just a temporary thing japo kama halmashauri kuna uzembe stendi haiwezi kuachwa kuwa vile lakini hilo haliondoi uzuri wa mengi ambao Arusha inao na bado ndio halmashauri iliyoendelea zaidi nje ya dar. Naomba kuwasilisha
View attachment 2019268
View attachment 2019269
Yani Arusha ndo iikaribie Dar kwa majengo, MWANZA umeiacha wapi, Chuga nimeishi majengo makubwa pale kuna lile la NHC, Ngorongoro labda na zile hotelSio kweli kabisa ndani ya miaka 10 tu Arusha jiji imejenga km za lami zaidi ya 100 kuna majengo yenye 10+ buildings zaidi ya 20 hamna mji unaweza tia pua kwa Arusha nje ya Dar boss next time ukifika Arusha utembee kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba ikitoka Dar inafata Arusha!??. Basi sawa mkuu
Hili jiji kwa miundombinu bado kabisa, ni zaidi ya miaka kumi (10) sasa tangu litangazwe jiji, lakini cha kushangaza na kusikitisha hakuna vituo maalumu vya kushusha na kupakia abiria.
Vile vituo vya njiani hakuna alama yoyote inayoonyesha kuwa hapa ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria, kwa maana kuwa hakuna kibao wala sehemu ya abiria kumkinga na Mvua wala jua, mteja anasimama popote na anashushwa popote.
La pili kituo /stand ya daladala, hakuna kituo maalumu cha daladala kuingia bali zote hugeuzia barabarani au mwisho wa barabara ambapo hushusha na kupakia abiria hapo hapo, kwa jinsi inavyoonekana sehemu nyingi au mwisho wa vituo vilivyo vingi madereva na Makonda ndio waliopanga uwe mwisho wa kituo na si serikali.
Mfano mzuri daladala za kutoka mjini kwenda Lemara hazina kituo maalumu kilichotengenezwa huko Lemara mwisho bali hugeuzia barabarani.
Daladala za Kwenda Morombo kutoka mjini hadi Morombo pale hawajajengewa kituo maalumu cha kuingilia bali pembeni ya barabara ndo mwisho wao na hugeuzia hapo hapo.
Daladala za kwenda Usa nalo vile vile hawana kituo maalumu huko mwisho.
Daladala za kwenda Engosengiu nao mwisho wao ni barabarani ndipo hugeuzia gari zao hawajajengewa kituo maalumu cha kugeuzia ambapo abiria anaweza kukaa na kusubiri usafiri.
Na sehemu nyingine nyingi tu.
Ni wakati sasa wa jiji kuamka na kuandaa Ramani nzima ya jiji pamoja na kuandaa miundombinu /vituo maalumu vya kujengewa ili kuweka jiji katika hadhi yenye ramani nzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23]maendeleo yapi unayoyahitaji yaliopo mkoani kwako Arusha hayapo ngoja nikupe data kidogo
Arusha ndio mji pekee wenye maghorofa 10+ zaidi ya 20 nje ya dar sina uhakika kama kuna mji wenye hata 10
Arusha ndio mji wenye magari mengi nje ya dar
Same kwa private hospitals, private schools hotels, automated parking machines
Arusha ndio welthiest district tz google kupata uhakika wa hili
Na ndio maana inaitwa ulaya ndogo au half london ya tz
shida inakuja pale ambapo wewe ni mtu wa hali ya chini uliyeenda kusalimia ukweni stendi ina miundombinu mibovu, masoko mabovu[emoji1787][emoji1787]
ila kwa watu wenye noti braza Arusha kuna malls zaidi ya 6 na bado zinaendelea kujengwa, movie places kibao, karibu kila ofisi kubwa ya nje ina branch arusha bado international schools hizo recreational areas sasa bao gardens ila vyote hivo ili uvione au hata ujue vilipo lazima uwe na pesa mzee na ndio maana unashangaa watu wanatoka spain kuja kula bata arusha wanaenda kula bata Arusha na daladala huwezi kuona utaishia kuona nyumba za ngarenaro tu ingia google hapo andika hospitality centers in Arusha kuna sehemu huwezi kujua kama ni africa
International offices ni nyingi mno kwahio hata sehemu nyingi zinakua classic
Shida ni kwa hawa waliofikia ngarenaro kwa wajomba otherwise Arusha is the best place kwa hospitality industry sababu hata major roads zote zina lami tena mpya shida ni barabara za mitaani ambazo ni changamoto kwa taifa zima
View attachment 2019594
Acha Uarusha boss , Arusha zinatakiwa coasters, arusha sio Nairobi ,au wewe unapenda kukunja mgongo kwenye daladala,Vipanya sio ushamba. Mbona south au nairobi vinatumika? Wewe ndio mshamba
Uyo jamaa atembei kujionea tofautiYani Arusha ndo iikaribie Dar kwa majengo, MWANZA umeiacha wapi, Chuga nimeishi majengo makubwa pale kuna lile la NHC, Ngorongoro labda na zile hotel