Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Tanga, Mbeya, Arusha, Mwanza, hiz ni manispaa tu hazikutakiwa kupewa hadhi ya Jiji ispokuwa idadi ya watu ndio ikawapa motisha wanasiasa kuona haya mavijiji yaliyochangamka kuyaita majiji.
mifumo ya miundombinu ni hovyo hakuna mataa ya mijini na njia za magari hazina ubora, mipango miji ni hovyo, huduma za kijamii ni hovyo, maisha ya wananchi ndio usiseme hayatofautian na wale wa vijijin.
afazal kidogo kwa Dodoma ambayo inapewa upendeleo lkn nayo ni takataka tu haina vigezo hivyo kwa nchi yenye maliasiri zakutosha,
hiv ilishindikana vip kwa serikali kutenga kiasi fulani cha pesa kila mwaka kitumike kuyajenga na kuyarekebisha majiji haya yawe mfano na chachu ya maendeleo nchin? kila kanda iwe na makao yake ambayo yataboreshwa kwa kila nyanja...
hii Nchi kuja kuendelea mpka hawa wanasiasa wote watakapopotea ktk uso wa dunia pamoja na vizaz vyao vyote