Jiji la Arusha limekosa vituo vya daladala, pembeni ya barabara kuu ndio mwisho wa kituo

Jiji la Arusha limekosa vituo vya daladala, pembeni ya barabara kuu ndio mwisho wa kituo

Huo ni ukweli mji wao umetawaliwa na wachagga kila idara wasingehamia huko Hali ingekuwa mbaya, shida ni wanaume kupenda kulelewa
we nae una ka personal story chako na Arusha 🤣 hebu tueleze kiundani huyo aliyokua marioo wako huko Arusha tunaweza kukusaidia mdau😊
 
ulvoandika tu hii daslam unaonyesha unakaa vingunguti [emoji1787] tena we mwenyewe wakuja ndo maana unaweka dp picha za kudownload
Nakaa kwenye upepo ulishaskia sehemu kwaitwa beach, hafu vinginguti sijawahi fika huko mkuu and I will never reside in waswahili areas, pole
 
we nae una ka personal story chako na Arusha [emoji1787] hebu tueleze kiundani huyo aliyokua marioo wako huko Arusha tunaweza kukusaidia mdau[emoji4]
Sina personal chuki nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko, kiukweli Arusha bado Sina chuki wala nini truth will set us free
 
kabisa👏👏 lakini sasa ndio zimejengwa km 100 kwahio hoja yako kwamba kuna mabadiliko umejijibu vyema kabisa na awamu hii serikali imeweka mkazo sana kwenye sekta ya utalii hata leo samia yuko Arusha atazindua hoteli ya nyota 5 kwahio mengi yanakuja mazuri ndugu mdau bila kusahau EAC nao sasa wamepitisha Arusha kuwa makao makuu ya kudumu kwahio mzee the future is promising
Hayo yote yaendane na hadhi ya jiji, Arusha ni mji wa kitalii kwa mda mrefu lakini maendeleo yake hayasadifu kabisa inahitajika nguvu kubwa sana kuibadilisha .
 
We jamaa unatetea ujinga ...yaani km arusha barabara nyingi ni mbovu watu wasiseme?
sijasema Arusha hamna shida ya barabara lakini ukilinganisha na miji mingine yote kutoa dar sisi tuna ahueni sana
kama huamini niambie mji wowote uliojenga km 100 za lami chini ya miaka 10 nje ya dar
 
Hayo yote yaendane na hadhi ya jiji, Arusha ni mji wa kitalii kwa mda mrefu lakini maendeleo yake hayasadifu kabisa inahitajika nguvu kubwa sana kuibadilisha .
ni mji wa kitalii na watalii pia hawapandi daladala
ni mji wa kitalii ndio maana unahudumiwa na airport mbili hamna mji mwingine kama huo hoteli ndio usiseme barabara hadi za njia 6 zipo shida ni kwamba kwenye nchi zetu hizi za kimaskini huwezi kufanya vitu vyote kwa wakati mmoja ndio maana unaona hospitali ya wilaya sasa hivi inajengwa kwa bl 29 na helicopta itakua inatua hiyo bln 29 tungeweza kujenga stendi ya daladala zaidi ya moja kwahio ni vipaumbele tu mkuu

IMG_20211121_170219.jpg

IMG_20211121_170240.jpg
 
Sina personal chuki nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko, kiukweli Arusha bado Sina chuki wala nini truth will set us free
ungekua free tungeona hata picha yako basi dada
Lakini nlichokiona hapa watu wanachanganya mada unasema Arusha ni mji wa kitalii ila stendi mbovu mara nyumba za ngarenaro zimechoka 🤣🤣
kama umeenda Arusha kutalii hata stendi ya kilombero utaijua ilipo
utaona hoteli za nyota 5 ambazo sio hata ghali kuanzia dola 400 tu kwa siku unalala
ukienda Arusha kimaskini utaiona ndio sehemu mbaya duniani kwanza kwenye ule mji kama huna gari lako au usafiri wa private utateseka sana manake usafiri wenyewe ni vile vipanya na vinasubiri hadi vijae utakufa🤣🤣
 
Hayo yote yaendane na hadhi ya jiji, Arusha ni mji wa kitalii kwa mda mrefu lakini maendeleo yake hayasadifu kabisa inahitajika nguvu kubwa sana kuibadilisha .
maendeleo yapi unayoyahitaji yaliopo mkoani kwako Arusha hayapo ngoja nikupe data kidogo
Arusha ndio mji pekee wenye maghorofa 10+ zaidi ya 20 nje ya dar sina uhakika kama kuna mji wenye hata 10
Arusha ndio mji wenye magari mengi nje ya dar
Same kwa private hospitals, private schools hotels, automated parking machines
Arusha ndio welthiest district tz google kupata uhakika wa hili
Na ndio maana inaitwa ulaya ndogo au half london ya tz
shida inakuja pale ambapo wewe ni mtu wa hali ya chini uliyeenda kusalimia ukweni stendi ina miundombinu mibovu, masoko mabovu🤣🤣
ila kwa watu wenye noti braza Arusha kuna malls zaidi ya 6 na bado zinaendelea kujengwa, movie places kibao, karibu kila ofisi kubwa ya nje ina branch arusha bado international schools hizo recreational areas sasa bao gardens ila vyote hivo ili uvione au hata ujue vilipo lazima uwe na pesa mzee na ndio maana unashangaa watu wanatoka spain kuja kula bata arusha wanaenda kula bata Arusha na daladala huwezi kuona utaishia kuona nyumba za ngarenaro tu ingia google hapo andika hospitality centers in Arusha kuna sehemu huwezi kujua kama ni africa
International offices ni nyingi mno kwahio hata sehemu nyingi zinakua classic
Shida ni kwa hawa waliofikia ngarenaro kwa wajomba otherwise Arusha is the best place kwa hospitality industry sababu hata major roads zote zina lami tena mpya shida ni barabara za mitaani ambazo ni changamoto kwa taifa zima

IMG_20211121_170059.jpg
 
ungekua free tungeona hata picha yako basi dada
Lakini nlichokiona hapa watu wanachanya mada unasema Arusha ni mji wa kitalii ila stendi mbovu mara nyumba za ngarenaro zimechoka [emoji1787][emoji1787]
kama umeenda Arusha kutalii hata stendi ya kilombero utaijua ilipo
utaona hoteli za nyota 5 ambazo sio hata ghali kuanzia dola 400 tu kwa siku unalala
ukienda Arusha kimaskini utaiona ndio sehemu mbaya duniani kwanza kwenye ule mji kama huna gari lako au usafiri wa private utateseka sana manake usafiri wenyewe ni vile vipanya na vinasubiri hadi vijae utakufa[emoji1787][emoji1787]
Arusha nimeishi vizuri sio ya kusimuliwa kabisa na mataa nayajua vizuri tu sana so usifikirie watu tuna chuki binafsi no no
 
We jamaa unatetea ujinga ...yaani km arusha barabara nyingi ni mbovu watu wasiseme?
Hii kujisifia uongo ndio kulifanya magufuli aseme wameendelea waachwe miundo mbinu na maendeleo vihamishiwe kwingine
 
Arusha nimeishi vizuri sio ya kusimuliwa kabisa na mataa nayajua vizuri tu sana so usifikirie watu tuna chuki binafsi no no
[/QUOT🤣🤣👊
lakini sasa haiwezekani umeishi Arusha lakini unachokikumbuka ni zile nyumba mbovu ulizoziona Arusha ambazo nairobi na dar kuna slums kushinda hata Arusha
tulitegemea utupe uzoefu wa hotel uliyolala labda hawakukupa huduma nzuri au changamoto ulizozipata ukiwa airport
lakini sasa wewe unakumbuka vile vipanya tu na zile nyumba chakavu ulipokuwa ukiishi ngarenaro
 
Hii kujisifia uongo ndio kulifanya magufuli aseme wameendelea waachwe miundo mbinu na maendeleo vihamishiwe kwingine
sio stori nenda vijiji vya uchagani ukajionee🤣🤣
kaskazin ilipiga hatua kitambo sisi sio wa kujipendekeza kwa watawala kisa kununuliwa vitenge na kofia
haya huko lindi na mtwara na kanda ya ziwa ambapo ni maccm yanatawala miaka yote maendeleo yakoje😎

IMG_20211122_132254.jpg
 
sio stori nenda vijiji vya uchagani ukajionee[emoji1787][emoji1787]
kaskazin ilipiga hatua kitambo sisi sio wa kujipendekeza kwa watawala kisa kununuliwa vitenge na kofia
haya huko lindi na mtwara na kanda ya ziwa ambapo ni maccm yanatawala miaka yote maendeleo yakoje[emoji41]

View attachment 2019634
Bro point yako ni nini? Mbona kanda ya ziwa inakuwasha sana?
 
Barabara za lami nyingi zimejengwa kipindi cha hayati magufuli tena kwa vile ni moja ya sera zake la sivyo barabara nyingi zingebaki kuwa za vumbi Hapo sijazungumzia mradi wa east africa kwa kifupi ukitoa hiyo miaka mitano ya magufuli kurudi nyuma Arusha ilikuwa hamna kitu.
Ukuaji wa jiji la Arusha hauridhishi kabisa hasa kwenye swala la miundombinu
Barabara za mitaa kaka makao mapya,kaloleni,sekei nk zimetengenezwa kipindi cha kikwete,za magufuli ni pamoja na ya uswahilini hadi kwa mrombo na mizunguko yake,usijaribu kumu undermine kikwete kwenye issue ya barabara,halafu nimeona mtu hapo anasema hata njiro ni barabara za tope!! Acha tu nimpuuze,kuhusu issue ya uhalifu hata mimi huwa naanbiwa nikiwa arusha kuwa nisijaribu kukatiza manzese (dar) hata mchana,eti kuna uhalifu wa kutupwa,nilifika na kukatiza kina kwa kona ila sikukabwa wala kunyooshewa kidole,nimeishi arusha zaidi ya miaka 20 sasa,sijawahi hata kutishiwa na huyo mhalifu asiyeonekana,si kwamba hawapo,ila ni kwa kiwango cha chini kuliko inavyovumishwa mitandaoni,kwa miaka yote na mimi hilo suala la uhalifu wa arusha huwa nalisoma tu mitandaoni,mji wa arusha una asilimia 80 ya mambo mazuri ya kuvutia na labda 20-mengineyo, nina uraia wa kudumu wa majiji haya matatu,Arusha,mwanza na dar,napaelewa vyema, mtoa post anasema arusha hakuna kituo chochote cha bus,(daladala) sijui kile pale kilombero ni zizi la ngombe au?
 
maendeleo yapi unayoyahitaji yaliopo mkoani kwako Arusha hayapo ngoja nikupe data kidogo
Arusha ndio mji pekee wenye maghorofa 10+ zaidi ya 20 nje ya dar sina uhakika kama kuna mji wenye hata 10
Arusha ndio mji wenye magari mengi nje ya dar
Same kwa private hospitals, private schools hotels, automated parking machines
Arusha ndio welthiest district tz google kupata uhakika wa hili
Na ndio maana inaitwa ulaya ndogo au half london ya tz
shida inakuja pale ambapo wewe ni mtu wa hali ya chini uliyeenda kusalimia ukweni stendi ina miundombinu mibovu, masoko mabovu🤣🤣
ila kwa watu wenye noti braza Arusha kuna malls zaidi ya 6 na bado zinaendelea kujengwa, movie places kibao, karibu kila ofisi kubwa ya nje ina branch arusha bado international schools hizo recreational areas sasa bao gardens ila vyote hivo ili uvione au hata ujue vilipo lazima uwe na pesa mzee na ndio maana unashangaa watu wanatoka spain kuja kula bata arusha wanaenda kula bata Arusha na daladala huwezi kuona utaishia kuona nyumba za ngarenaro tu ingia google hapo andika hospitality centers in Arusha kuna sehemu huwezi kujua kama ni africa
International offices ni nyingi mno kwahio hata sehemu nyingi zinakua classic
Shida ni kwa hawa waliofikia ngarenaro kwa wajomba otherwise Arusha is the best place kwa hospitality industry sababu hata major roads zote zina lami tena mpya shida ni barabara za mitaani ambazo ni changamoto kwa taifa zima

View attachment 2019594
Arusha nimeishi huna haja ya kunielezea yote hayo ili nikuelewe maana ninaongea kwa uhalisia. Ukisema majengo marefu hayazidi 10 tena mengi ni miradi ya serikal hasa majengo ya mifuko ya jamii na lile la utalii na jingine liko pale karibu na metropole nalo bado halijakamilika. Kwenye shopping malls ukitoa aim malls zilizobaki hazifai hata kuitwa malls, Hizo movie places unazoniambia kibao ndo hizo zilizopo njiro compex na aims mall au ni zipi. Usisifie sana kwa kuficha madhaifu kumbe uhalisia ni mdogo
 
Back
Top Bottom