bro kunywa soda hapoBarabara za mitaa kaka makao mapya,kaloleni,sekei nk zimetengenezwa kipindi cha kikwete,za magufuli ni pamoja na ya uswahilini hadi kwa mrombo na mizunguko yake,usijaribu kumu undermine kikwete kwenye issue ya barabara,halafu nimeona mtu hapo anasema hata njiro ni barabara za tope!! Acha tu nimpuuze,kuhusu issue ya uhalifu hata mimi huwa naanbiwa nikiwa arusha kuwa nisijaribu kukatiza manzese (dar) hata mchana,eti kuna uhalifu wa kutupwa,nilifika na kukatiza kina kwa kona ila sikukabwa wala kunyooshewa kidole,nimeishi arusha zaidi ya miaka 20 sasa,sijawahi hata kutishiwa na huyo mhalifu asiyeonekana,si kwamba hawapo,ila ni kwa kiwango cha chini kuliko inavyovumishwa mitandaoni,kwa miaka yote na mimi hilo suala la uhalifu wa arusha huwa nalisoma tu mitandaoni,mji wa arusha una asilimia 80 ya mambo mazuri ya kuvutia na labda 20-mengineyo, nina uraia wa kudumu wa majiji haya matatu,Arusha,mwanza na dar,napaelewa vyema, mtoa post anasema arusha hakuna kituo chochote cha bus,(daladala) sijui kile pale kilombero ni zizi la ngombe au?
mimi si mwenyeji wa Arusha ila nafanya kazi na taasisi ya kijamii inayoendeshwa na waholanzi
kuna raia kibao wa kigeni nimefanya nao kazi hakuna hata mmoja aliyewahi kulalamikia uhalifu
kuna upotoshwaji mkubwa sana unaofanywa kuhusu hali ya usalama na maisha ya Arusha
Arusha is a very peaceful place ndio maana panaitwa geneva of Africa
na sio tu Peace but very developed when it comes tu private sector investments.
ila tu maskini zetu tukishindwa kitu fulani tunaishia kuponda ndio ile mtu anasema sipendi mimi makuku kuku na ma pizza yanaleta presha kisa hana hela
mtu ameshindwa kulala hoteli ya Arusha kafikia ngarenaro uko kwa shangazi anaishia kusema kuna vibaka
mtu anatoka london anakuja kuspend Arusha huyu mwingine yuko hapo manzese tu analalamika eti nikienda Arusha ntaibiwa
kwanza wanakitu hata cha kuibiwa🤣🤣