Jiji la Arusha limekosa vituo vya daladala, pembeni ya barabara kuu ndio mwisho wa kituo

ukaenda kugoogle kabisa🤣🤣🤣

tangu lini umeona blogs za wazungu zikaongea mazuri kuhusu afrika

au unataka niwakumbushe wasukuma kuhusu video ya mapanki😉

Mi nawaambiaga milele na milele huo mkoa wenu wa maskini hautaifikia Arusha 😥 ndo maana kila siku mnatupostia masoko na stendi mnasahau watu wenu wanajisaidia ziwani🤣

View attachment 2022875

View attachment 2022876

View attachment 2022877

View attachment 2022878

View attachment 2022879

View attachment 2022880

View attachment 2022882

View attachment 2022883

View attachment 2022884
 
1. Nyamhongo bus terminal
2. Nyegezi bus terminal

Stand mbili za kisasa ndani ya jiji moja wakati huohuo kaarusha hakana hata moja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania ilipaswa kuwa na majiji mawili tu ambayo ni Dar na Mwanza.
Haya mengine yote yaliyobaki ni Manispaa.Angalau Dodoma inakuja kwa kasi mno na muda si muda itaipita Mwanza.
Arusha ndio usiseme hakuna kitu kabisa.Miundombinu ya barabara,mipango miji ni mibovu kabisa.
Stand hakuna,upangaji wa mji ni mbovu,masoko ya kutosheleza hakuna na machache yaliyopo miundombinu ni mibovu,barabara za vumbi kila kona,majengo ya hovyo hovyo ndani ya mji yamejaa,mashamba ya migomba na mahindi yapo katikati ya mji mji yaani kwa kifupi mji upo hovyo hovyo.
Stand za magari makubwa na madogo hakuna yenye hadhi hata ya kukaa kwenye Manispaa.
Tatizo lote ni rushwa na siasa chafu.
Hayo yakiachwa mji utakuwa.
Unaweza ukapotea Arusha kwa muongo mmoja lakini ukirudi hauoni tofauti.
Jina la Arusha ni kubwa kuliko uhalisia wenyewe.
Kihistoria mji ulikuwa unakua kwa kasi enzi za Nyerere lakini baada ya hapo kila kitu kikawa historia na ndio maana tumeendelea kuishi na historia ya kale.
Arusha tukubali ukweli tusonge mbele.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hauna picha nyingine

Angalia mwanza upate somo ruksa kujikuna... napiga kwenye utosi [emoji38][emoji38]
 
Huo uchafu wa nini?

Tafuta picha ya arusha iliyopigwa kilometers million kama hio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipanya sio ushamba. Mbona south au nairobi vinatumika? Wewe ndio mshamba
 
Hivi sababu za kuwa ni Moja ya Ngome ya Chadema haiwezi kuwa kweliii????
 
Hata Mbeya stendi Yao ya mabasi ni ndogo sana
 
Mkuu nyumba za udongo zipo, mfano mitaa ya Ngusero, Mbauda, Sombetini kuna nyumba za udongo Hadi barabarani
 
Sio kweli kabisa ndani ya miaka 10 tu Arusha jiji imejenga km za lami zaidi ya 100 kuna majengo yenye 10+ buildings zaidi ya 20 hamna mji unaweza tia pua kwa Arusha nje ya Dar boss next time ukifika Arusha utembee kidogo
Yani Arusha ndo iikaribie Dar kwa majengo, MWANZA umeiacha wapi, Chuga nimeishi majengo makubwa pale kuna lile la NHC, Ngorongoro labda na zile hotel
 

Alafu anakuja mchagga mmoja hapa wa kutoka moshi sijui machame huko anaicompare na jiji la mwanza, jiji la pili kwa ukubwa Tanzania, lenye mandhari nzuri yakuvutia, kibiashara, utalii na hata kuishi.

Huko kulikojaa ushoga mtafananisha na Mwz kweli!!! Acheni masikhara.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

We jamaa au unahisi Arusha unakaa pekeyako ,unavosema baada ya Dar inakuja chuga mkuu hivi Mwanza unaichukuliaje.

Arusha ni ndogo sana mkuu lazma ukubali miundombinu mibovu
 
Vipanya sio ushamba. Mbona south au nairobi vinatumika? Wewe ndio mshamba
Acha Uarusha boss , Arusha zinatakiwa coasters, arusha sio Nairobi ,au wewe unapenda kukunja mgongo kwenye daladala,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…