Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

Vitoto vya elfu 2 vikishibaga chips mayai na take away baada ya kuhongwa elfu 10 na mishangazi ambayo hiyo mishangazi sisi ndo wake zetu vinaandika upupu. Ona kama hichi kimeenda arusha kimepanda hiace kimesikia harufu ya marashi ya gen z mwenzie wa kike kimeanzisha sredi.
 
Hata sio suti, ni uniforms za kawaida tu.
Halafu kwa nini makondakta wa Dar huwa wanavaa suruali mbili mbili kama wamechanganyikiwa??
 
Usafi gani meno machafu watu wote kama vile wamelamba ugolo mji mzima wakicheka wanafunika mdomo,

Viatu vikubwa kasuruali kakubana shati lumbesa, huo sio usafi ni uchafu
 
Kusema ukweli mji wa Arusha umekaa kilocal sana. Ubishi wa wenyeji mwingiiiii na wanachobisha hata analysis hawajafanya. Mji watu wanasafiria vigari vimekatwa juu na kuwa kama vibanda vya kahawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Mji mvua ikinyesha kidogo tu kila sehemu matope full mbuga.
Mji bado una tumia hiace mwendo wa kuinama.
Arusha hapana Bora Sumbawanga😂😂
 
Kwa watu wanaokwenda na muda vi-hiace vya Arusha vya watu 15 ndio usafiri sahihi sana, sio mnakalishwa kwenye karandinga la eicher la watu 50, kujaa shida, linapakia na kushusha vituo 30 safari kama ya kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wakati kamji kadogo tu.
 
Mji mvua ikinyesha kidogo tu kila sehemu matope full mbuga.
Mji bado una tumia hiace mwendo wa kuinama.
Arusha hapana Bora Sumbawanga😂😂
Hiace ya abira 15 ndio usafiri sahihi kama unajali muda, safari inaanza na kuisha faster, kufurahia karandinga la eicher la watu 50 ni ujuha.
 
Ni maeneo ya town town tu, ndani ndani huko sio powa na baridi pipo hazipeleki maji bafuni.
Nakupinga, watu wa Arusha kwenye kuvaa wanajua/tunajua

Mimi nimeanza kwenda sokoni kununua pamba nikiwa mdogo darasa la tatu. Na tulikuwa tunapendeza sana, tunakuwa smart.

Leo hii mkubwa ile tabia nimerithi, nikivaa lazima nipendeze. Na wala haina uhusiano na gharama za nguo. Ni culture tu, tangu wadogo huwezi kuta mtu amevaa nguo rangi za ajabu sijui shati la pink au kiatu cha plastic... tofauti kabisa na mikoa mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…