Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

Kuna ukweli wa haya ila pia Tanga ni wasafi sana kwa experience yangu Tanga nao wapo kwenye huo mtetemo wa usafi.
 
Bila picha mkuu.
 
Makonda kwenda Arusha amefanya watu kuijua Arusha kiundani na kuongelewa zaidi
 
Unapajua Dar wewe 😄 au unatorokwa na maneno 😃, Dar kuna watu wanapendeza kama hawana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kupendeza tu
 
Hao lachuga ndio wasafi!Mtu kwao.
 
Mji mvua ikinyesha kidogo tu kila sehemu matope full mbuga.
Mji bado una tumia hiace mwendo wa kuinama.
Arusha hapana Bora Sumbawanga😂😂
Nilikiwa napitia comment ila hii umeua ni ukweli mtupu yani wenye raha labda wanaofanya static work ila kama unatembea utakoma 😄😄😄
 
As if Kila anayeishi Arusha anapanda hizo hiace, Arusha Kuna Costa, Kuna Bajaj, Kuna boda, Kuna Uber na bolt wewe tu na usafiri wako ila kumbuka Arusha ni mji wa kitalii usije Arusha kama hauna hela ni Bora ubaki huko kijijini kwenu utaumia

Mi mwenyew bolt natumia sana ila suala la matope mtaani lipo sana tuu
 
Mnatuchanganya mjue? Arusha ni moja ya sehemu chafu kabisa Tanzania, porini huko tuko mali sio mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…