Jiji la Dar limenishinda kuishi. Wengine mnawezaje au mnajikaza?


Bado Dar ni jiji Dogo halina hela heka zozote za kukufanya uone ni pagumu ku-survive.
 
Bado Dar ni jiji Dogo halina hela heka zozote za kukufanya uone ni pagumu ku-survive.
Nani kazungumzia ishu ya kusurvive mkuu, tunaongelea suala zima la kuishi na ustawi wa mwanadamu. Dar ni sehemu ya hovyo sana kama vile serikali hamna, miundombinu inatia kinyaa. Haifai ata kwa mtu anaejitafuta maana hamna rangi ataacha kuona labda atumie njia mbadala

Dar kwanza haina hata hadhi ya kuitwa jiji ni basi tu, vuka ng'ambo ujionee majiji jinsi yalivopangiliwa kwa utulivu.
 


Unafikiri ingekuwa ni jiji la ovyo watu bado wangeendelea kuwekeza dar kama ilivyo Sasa ?
 
Dar es salaam ni chungu au tamu kulingana na uchumi ulionao.
Ukiwa hoehae lazima upachukie. Lakini ukiwa vizuri utaishi kama peponi hii haina kisingizio au blablaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…