Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Hakuna watu Wana akili kuzidi wafanyabiashara ukiona mfanyabiashara anawekeza dar instead of mikoani ujue dar ina fursa za kibiashara zaidi kuliko mkoa mwinginewatu wanawekeza sababu no way out, ila miundombinu ya uwekezaji na biashara = 0
Kama hujawahi kutoka nje ya Tz una haki ya kusema ivoDar es salaam ni chungu au tamu kulingana na uchumi ulionao.
Ukiwa hoehae lazima upachukie. Lakini ukiwa vizuri utaishi kama peponi hii haina kisingizio au blablaa
sawa mkuu, sitaki kutoka nje ya mada maana naona umejikita kwenye biashara zaidiHakuna watu Wana akili kuzidi wafanyabiashara ukiona mfanyabiashara anawekeza dar instead of mikoani ujue dar ina fursa za kibiashara zaidi kuliko mkoa mwingine
Sio kuwekeza tu,kuna watu kibao wana uwezo wa kwenda kuishi mji wowote duniani ila wapo Dar and they are happy. Wewe kupita nje ya nchi miaka miwili tu basi unaanza kuponda Dar utafikiri teenager aliekulia Kent.watu wanawekeza sababu no way out, ila miundombinu ya uwekezaji na biashara = 0
hili ni jukwaa huru mkuu kila mtu ana maoni yake😁 , personal attack and the like sio vitu vyangu.Sio kuwekeza tu,kuna watu kibao wana uwezo wa kwenda kuishi mji wowote duniani ila wapo Dar and they are happy. Wewe kupita nje ya nchi miaka miwili tu basi unaanza kuponda Dar utafikiri teenager aliekulia Kent.
Tanzania kubwa sana kuna miji na wilaya nyingi nje ya Dar hamia huko tu ila usifikiri kila anaeishi Dar ni kwasababu hana option.
Hakuna personal attack mkuu. The way unaandika mtu anaweza kufikiri umekuja Tz ukubwani au umekaa nje miaka 50 ndio ukaja Tz. Na unadiriki kusema mtu watu wanawekeza Tz kwasabbau no way out seriously?hili ni jukwaa huru mkuu kila mtu ana maoni yake😁 , personal attack and the like sio sio vitu vyangu.
Peace 🇹🇿🇹🇿
Hakuna attack ni vile ameandika usichopendahili ni jukwaa huru mkuu kila mtu ana maoni yake😁 , personal attack and the like sio vitu vyangu.
Peace 🇹🇿🇹🇿
Ninasafiri sana kuliko wewe .Elewa tu ukiwa huna any Dar es salaam lazima utapachukia acha visingizioKama hujawahi kutoka nje ya Tz una haki ya kusema ivo
Mambo yasiwe mengi mkuu, Tanzania ni nchi yangu ila kuna uozo mwingi sana kuanzia personality zetu sisi raia na serikali isiokua na nyuma wala mbele so hamna kitu utanambia nikakuelewa japokuwa najitaidi sana kukubali kutokukubaliana.Hakuna personal attack mkuu. The way unaandika mtu anaweza kufikiri umekuja Tz ukubwani au umekaa nje miaka 50 ndio ukaja Tz. Na unadiriki kusema mtu watu wanawekeza Tz kwasabbau no way out seriously?
Sawa mkuuNinasafiri sana kuliko wewe .Elewa tu ukiwa huna any Dar es salaam lazima utapachukia acha visingizio
Huyu kazeeka tu apunguze ujuaji.Ukianza kuona kero za kelele na purukushani zinakupa stress ujue umeanza kuzeeka ni muda muafaka kuhamia nje ya mji au mkoani kwenye wilaya tulivu au shambani kabisa. Huu ni uzoefu wangu.
Kwa dar kadiri kipato chako kinavyokuwa ndio baadhi ya sehemu unaanza kuzijua kama zipo na nyingine kujisahau.Sawa mkuu ntazisaka, em nielezee ni sehemu nzuri kivipi sababu nimekaa dsm zaidi ya miaka mitano lkn nkaona jau hadi serikali yenyewe iliamua kupakimbia.
Kwaiyo unashauri nirudi tena Dar kuzisaka pesa mkuu au vipiHuyu kazeeka tu apunguze ujuaji.
Kule zenj Kuna sehemu zinaitwa shamba, Nafikiri ndio maana kapapenda huko
Kwa mtu aliyewahi kuishi dar na hela zisiwe shida kwake, basi huwezi kuhama kwenda mkoani bali kwenda majiji makali zaidi duniani kama New York n.k
Sawa mdogo wetu, hujakoseaKitu kingine hata hiyo miaka miwili ambayo unatuambia umeishi dar ni uongo wewe inaonekana ulipita tu umekuja kuanzisha uzi humu.
Inatia mashaka hata Google map hujui kutumia hadi unalipishwa 35 kwenda kule geza nadhani ni kule kwa mchina.
Inasikitisha sana na exposure ambayo unasema unayo ya kusafiri nchi za njee
Dar kama jiji lina changamoto kama majiji mengi ya Afrika yalivyo. Kuna the good,the bad and the ugly side.Mambo yasiwe mengi mkuu, Tanzania ni nchi yangu ila kuna uozo mwingi sana kuanzia personality zetu sisi raia na serikali isiokua na nyuma wala mbele so hamna kitu utanambia nikakuelewa japokuwa najitaidi sana kukubali kutokukubaliana.
em jaribu kuwa honest, miundombinu ya Dar na hali ya usafi unaichukuliaje ukilinganisha na hadhi ya jiji kwa hapa Tanzania? sijajua kwa upande wako ila mimi nimefanya biashara kariakoo muda mrefu tu, unajua kadhia ya kodi wafanyabiashara wanakumbana nazo apo Kariakoo/Dar kwa ujumla mkuu? watu tulidiriki mpaka kugoma lkn mpaka hivi leo hali iko vilevile ndo maana nmeconclude kuwa watu wanawekeza sababu hawana namna
Sio lazima uzisakie dar, ile ukiwa dar hakikisha pesa sio shida zako tena ndo utakuja kujua dar ni pepo ndogo tuKwaiyo unashauri nirudi tena Dar kuzisaka pesa mkuu au vipi
Usikute hata dar yenyewe na hiyo "nchi za nje" hajafika zaidi ya story tu za mitandaoniKitu kingine hata hiyo miaka miwili ambayo unatuambia umeishi dar ni uongo wewe inaonekana ulipita tu umekuja kuanzisha uzi humu.
Inatia mashaka hata Google map hujui kutumia hadi unalipishwa 35 kwenda kule geza nadhani ni kule kwa mchina.
Inasikitisha sana na exposure ambayo unasema unayo ya kusafiri nchi za njee
Najua mkuu, we unafikiri kwann huwa narudi kula bata? Ni vile tu kuna muda uvumilivu unanishinda nikiwa natoka au naenda iyo sehemu ya bata yenyeweSio lazima uzisakie dar, ile ukiwa dar hakikisha pesa sio shida zako tena ndo utakuja kujua dar ni pepo ndogo tu