Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Kigoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you dreaming?Kampala wangekuwa na bandari, tena nzuri na kubwa kama ya Dar Es Salaam, wangetuacha mbali sana. Labda ingekuwa inachuana na akina "Durban" au "Cape Town".
Sidhani! Naona kama Kampala ni kubwa kuzidi Mwanza na Arusha.Hujatembea wewe, Nimesoma Kampala 2004 to 2007 na huwa naenda mara kwa mara hata sasa...Kampala ni jiji la kawaida mno, kwa Tz laweza kufananishwa na Mwanza au Arusha
Mdau hebu kaa zaidi kidogo kuna mengi hujayaona hapo. ili ukirudisha mrejesho utuongezee watalii toka Tanzania.Kwa siku chache ambazo nimekuwepo hapa Kampala, nimeweza kujionea, japo ni kwa sehemu ndogo tu, jinsi lilivyo.
Ni jiji kwenye hadhi ya kuitwa jiji. Lina mandhari nzuri na pia hali ya hewa nzuri.
Pamoja na kwamba ni jiji, lakini ukililinganisha na jiji la Dar Es Salaam ni kulionea, na ukisema ulilinganishe na jiji la Tanga au Mbeya ni sawa na kulitukuna.
Ikiwa halijalifikia jiji la Dar Es Salaam, na pia limeyaacha mbali majiji ya Mbeya na Tanga, ni mji upi Tanzania unaweza kulinganishwa nao?
TZ jiji ni moja tuuMwanza nako siyo pa kudharauliwa, ila Kampala panaweza pakawa "pakubwa" zaidi ya Mwanza.
Kalisizo,, Kyotera, Masaka to Kampala.Barabara ya Mutukula kwenda Kampala utagundua kwa nini viongozi wanapendelea MAV8! Japo ni lami lakini kwa hivyo "vishimo" utatamani bodaboda
Kampala ifananishe na Mwanzalabda mwanza? .Ulikaa maeneo gani mkuu owino marketi ulifika?vipi kuhusu Mpererwe na Ntinda?
Ukitumia Vigezo vya kimataifa vya Uanishaji Miji kuwa Jiji, Tanzania Hakuna hata mji mmoja uliokidhi vigezo vya kuweza kuwa Jiji. Hakuna kabisa.TZ jiji ni moja tuu