Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Hao ni wana Chadema na vibaka wanaokwenda kumtafuta Lissu usiku, mbona huko mitaani watu walikuwa wanaendelea na mambo yao tu wala hawana habari na huyo Lissu. Natamani kampeni ziishe hata leo ili tupige kura maana uamuzi tulishaufanya siku nyingi hata kabla ya kura
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Mliimba wacha waisome namba wee!

Sasa namba mnaisoma CCM.

Achana na nguvu ya watu wakiamua jambo NOBODY CAN STOP THEM.
 
Hata mkoa wa Tanga nao ni wa kuhurumia kabisa kwani sijui wamepatwa na nini hadi kuingia kwenye mikoa yenye udumavu wa akili kama Dodoma, Tabora kwa kutopenda kubadilika
Sure kabisa huwa watu wa mkoa wa TANGA hawaeleweki wanachelewa Sana kujitambua

Yaani huo mkoa CCM huwa inapeta tu sio TANGA mjini sio kilindi wote tabu tupu[emoji2]
 
Asante Lissu walau tumeanza kupata nuru!!! Ilifika pahala mtu unajifungia ndani.
" The storm is almost over"
Hii ngoma ya R.Kelly nitaipiga ikifika Muda.

STORM IS OVER...!
 
Mtaongea yote mwaka huuuu
Na ole wenu ole wenu ole wenu mthubutu kuiba Kura za Lissu, hakika mtakuja kuzaliwa
 
Tuwe wakweli hivi nyomi hili linazidi kweli enzi za lowasa Mimi naamini Kama lowasa hakupita kwa nyomi ile sidhani Kama TL atapita sasa

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…