Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Ni kosa is jinai kuifananisha Arusha na kamtaa kama mwanza ...ni kosa kubwa sana aisee ....mii mtu ya mwanza ikimwona tu mzungu inamshangaaaa...akati chuga kuna wazungu mpk wengine ni mafundi baiskelii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] proudly A city boy
 
Hapo hapo...umemaliza
 
Arusha ingepangiliwa strategically ilitakiwa iizidi mpaka Nairobi kwa mpangilio mvuto na unadhifu!
Sasa wewe shuleni umekimbia ulitaka apange nani? Mngeenda shule mngepanga akuna wa kumlaumu mtu apa
 
Tunahitaji kuwa na miji mizuri kila kona ya nchi yetu kama wenzetu South Africa, karibu kila mahali ni pazuri, kimsingi hapa tunashindanisha vi-miji vyetu vidogo vyenye radius isiyozidi ata kilometre tatu vyenye vumbi kila kona
Lakini kumbuka hiyo ndio miji yako. Kama kwako kubovu solution sio kutamani kwa jirani.Jitutumue na wewe kwako kuwe kuzuri kulingana na uwezo wako
 
Mbona maputo-Msumbiji hamuiongelei mmekariri tu Nairobi? Maputo is one of well planned and developed city in eastern Afrika!
 
Jiji lipi linafuata baada Dar es salaam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…