Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Thread closed, huu ndo ukweli
Mkuu no thanks, hiyo mijengo mirefu na biashara tofauti na utalii urongo mtupu! Mie nimezaliwa na kukulia arusha na nipo kikazi mwanza mwaka wa saba, nina makazi hapa ninacho enjoy ni mboga nyingi tu na unafuu wa viwanja, kokoto, mchanga na mawe. Kwangu mie chuga imejengeka na ya kisasa zaidi ya uku mwanza.
 
Ndugu wasukuma wanachojua ni kupiga domo lakini uhalisia wako backwards na washamba wa kila kitu na jiji lao la hovyo hovyo hilo
 
Nakubaliana na wewe mkuu

Mwanza pazuri sana wapendwa
 
Bado Ar iko huu nasema Mwanza ni jiji kuliko Ar wakati Tra wanakusanya hela Mara 2 ya Mwanza
? HATA KILIMANJARO WAKO JUU ZAIDI KULIKOMwanza watu Wengi Mwanza maskini
 
Bado mnabishana Mwanza na Arusha mbona kila moja lina uzuri wake na namna yake ya kuingiza kipato kwa mtu mmoja mmoja na kipato cha mkoa/kwa ujumla wake....
 
Yaaani Arusha hata Mbeya sio level zake, Level za Arusha ni Tanga na Morogoro [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo GDP ya Mwanza inahusisha na mkoa wa Geita ndio maana haupo kwenye List,like wise Iringa inahusisha Njombe na Shinyanga inahusisha na Simiyu,so punguza hizo za Mwanza hapo
Pili hii ni GDP ya mkoa sio ya majiji specific,kama hiyo haitoshi hapo chini kuna GDP per capita ,Mwanza ni ya 7 na ndio maana tunawaambia nyie ni maskini pamoja na wenzenu wote wanaowazunguka
1.Dar
2.Mbeya
3.Iringa
4.Ruvuma
5.Kilimanjaro
6.Arusha
7.Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…