ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
sasa hapo kuna nini mkuu,nikileta majengo 2 tu ya Ngorongoro na Pap mtakimbiana hapaHii
ChoiceVariable! Mwanza sio level za Arusha, Arusha si haba lakini huwezi kuwaaminisha watu kwamba eti Arusha izidi Mwanza kwa kipi? View attachment 1491273View attachment 1491275View attachment 1491276View attachment 1491273View attachment 1491275View attachment 1491276
Haha..sina budi kusubiria tuHii ligi haiwezi kuisha kamwe.
Subiri hapo hapo ujionee
Hahah tulia hapo hapo ujionee mziki utaanza muda si mrefu mkuu.haha..sina budi kusubiria tu
Kama shule yako umetumia hii link ya wikipedia kama chanzo cha masomo yako,unapaswa kuchunguzwa uhalali wa cheti chako[emoji3][emoji3][emoji3]wanajitungia au wanatoa kwenye report za IMF na NBS?
Wacheni kulinganisha Mwanza na utopoloHiyo GDP ya Mwanza inahusisha na mkoa wa Geita ndio maana haupo kwenye List,like wise Iringa inahusisha Njombe na Shinyanga inahusisha na Simiyu,so punguza hizo za Mwanza hapo
Pili hii ni GDP ya mkoa sio ya majiji specific,kama hiyo haitoshi hapo chini kuna GDP per capita ,Mwanza ni ya 7 na ndio maana tunawaambia nyie ni maskini pamoja na wenzenu wote wanaowazunguka
1.Dar
2.Mbeya
3.Iringa
4.Ruvuma
5.Kilimanjaro
6.Arusha
7.Mwanza
Acha porojo leta aerial images za Arusha as a whole, then kila mtu atajionea mwenyewe, Arusha bado sana kufika level za mwanza sema watu wa arusha nanyi mnapenda kujisifia sana kama wakenya vilesasa hapo kuna nini mkuu,nikileta majengo 2 tu ya Ngorongoro na Pap mtakimbiana hapa
Nipo Arusha mwaka wa pili huu, wacha tuuuAcha porojo leta aerial images za Arusha as a whole, then kila mtu atajionea mwenyewe, Arusha bado sana kufika level za mwanza sema watu wa arusha nanyi mnapenda kujisifia sana kama wakenya vile
Arusha ilikuwa zamani haina mpinzani mpaka sasa hapa nchini hakuna jiji zuri kama Mwanza.
Bahati nzuri mie si wa Arusha au Mwanza.
A-city nimeenda enda sana na mara ya mwisho ni Feb mwaka huu pia mwanza naifaham sana na jins inavyo change after every two months.
No place like Rocky City in Tanzania.
Mtoa mada kama una cash katumie Mwanza si Arushag
Najua watu wa Arusha watanipinga lakini kama umekuwa mwendaji wa Mwanza hasa toka 2008-sasa. Mwanza is best and still goes on.
Hata kwa usafi ni Mwanza au Moshi.
Naachia keypad za simu.
Cha ajabu sasa wanaongoza kurusha mawe kuhusu Mwanza na Arusha wapo MafiatiMm niko chuga na ni mzawa nimeishi mwanza na mara ya mwisho kwenda ni dec2019, mwanza bana imeendelea kuliko chuga, chuga is still in the making, pia mwanza inamajengo machache marefu na mji ni mpana umetanuka karibia wilaya zote zina kimbizana sasa ukija hapa nyumbani bana arusha ni mji wa size ya kati tusiseme kuwa ni mdogo kwa kuzungukia bar, na kimajengo jepo si mengi ila magorofa ni mengi ikileta mandhari nzuri tukiachana na old arusha, pia ni wilaya moja tu yenye maendeleo makubwa yani arusha mjini mingine aibu lol tukija kwenye swala la population mwz inaizunguka chuga zaidi ya mara 3 kwa wingi wa watu pia fahamu kuwa wingi wa watu unachangia kukua kwa eneo husika kwaajili ya mzunguko mkubwa wa pesa, pia watu wa mwz wamezubaa huwezi wafananisha wa chuga, kingine jueni kuwa chuga ipo landlocked hakuna access ya ziwa ila mwz ni tofauti ina access na ziwa so jiji linaweza kufanya biasha na hudumaa mbali mbali na mikoa na nchi 4 jirani sasa arusha hapana na hapo ndo mwz inapokimbiza. Hakuna mkoa wowote tajwa hapo wenye wenye hali ya hewa Bomba kama chuga. Mwanza kuzuri sana na nahama huko very soon ila chuga ya Arusha patamu jamani kaubaridi 24/7, wazee dsm na mwz pazuri ila tukiacha maendeleo yani majengo na ukubwa wa miji, still sipapendelei chuga kwasababu naishi huku hapana ila ukweli arusha patamu sana yani ni kuzuri hukereki na hali mbaya ya hewa yani joto joto, au kupigwa jua la utosi yani mwz na dsm bana ni mateso sana. Ila kote panaishika nanpazuri ila arusha kidogo life gharama ila sio gharama ya kutisha saivi mambo yanalegea ila tofauti ingine vija wengi wa chuga tuna pesa wapambanaji sio wakuchagua kama kule na kule
Cha ajabu sasa wanaongoza kurusha mawe kuhusu Mwanza na Arusha wapo Mafiati
Acha porojo leta aerial images za Arusha as a whole, then kila mtu atajionea mwenyewe, Arusha bado sana kufika level za mwanza sema watu wa arusha nanyi mnapenda kujisifia sana kama wakenya vile
Kwanza unaleta very outdated wikipedia report,saizi tuko 2020 angalau ungeleta jedwali la 2018/2019Wacheni kulinganisha Mwanza na utopolo View attachment 1492424
Geita imekuwa Mkoa mwaka upi Mkuu? pitia link hii kurasa 47na 48 kuna Mikoa kibao inachangia zaidi ya asilimia 5 kwenye GDP ya Taifa na bado Arusha haipo.
mapicha ya zamani haya toa uchafu huu