Mashudu kabisa hayaYani we ndo bure kabisa,muwe mnatembea na si kutembea kwa maana ya kupanda tu chombo cha usafiri unafika unasalimia ndugu na kurudi, tembea fanya kazi huko,kutana na watu tofauti na maeneo tofauti..ukifanya hivyo utakuja kugundua kua MWANZA ni the best hapa East Africa
Arusha Kuna mahala imekwamaNiko pamoja nawe
Kiwanda kipo opposite na FFU Njuki barabara ya Ilongero,wakati Mh.Mpina akiwa Naibu Waziri,Mazingira alikipiga faini ya Shs 20M ilikuwa Novemba 29,2016.Mwaka 2017 Mh.Lugola akiwa ndiye mwenye wadhifa wa Naibu Waziri, Mazingira alikifungia kwa kutolipa faini.I think the shame will be on you unatukana watu wakati hujui chochote.Ahahahaha shame on you buda.
Mount Meru ya Singida itililishe maji kwenye makazi ya watu ya wapi? Unajua hata eneo kilipo kweli wewe?
au unyankae kwamba wanayavusha barabara chini kwa chini yani watu wa arusha bana
.
Igunga kuna viwanda vidogo vidogo vya alizeti kama vilivyoko tu Shelui, Shinyanga na Kahama ni pamba.
.
Acha utani wewe Singida huko interior kumejaa viwanda vikubwa vikubwa huwezi hata kuamini kama kunaweza kuwa na viwanda kama hivyo huko vijijini
Sijakataa kama hakuna viwanda Iguguno,Shelui and other places in Singida sehemu nilizotaja ni maeneo ambayo Mount Meru Millers wana viwanda vyao vya kukamua mbegu za mafutaBabuMwerevu nenda Singida ukaone viwanda vya alizeti nemda kijiji kinaitwa Iguguno ukaone viwanda wewe.
.
Kule kitu inalimwa, kuvunwa, na kuwa processed kulekule.
Dodoma vipi mkuuMwanza ndo inafuata kwa kuchangia GDP ya Tanzania after Dar.
Dar es salaam $25 Billions.
Mwanza $4 Billions.
Duuh,mbona gap kubwa hivyo?Mwanza ndo inafuata kwa kuchangia GDP ya Tanzania after Dar.
Dar es salaam $25 Billions.
Mwanza $4 Billions.
Imebadilika nn mm nipo mwanza Niko na sioni hayo mabadilikoArusha ilikuwa zamani haina mpinzani mpaka sasa hapa nchini hakuna jiji zuri kama Mwanza.
Bahati nzuri mie si wa Arusha au Mwanza.
A-city nimeenda enda sana na mara ya mwisho ni Feb mwaka huu pia mwanza naifaham sana na jins inavyo change after every two months.
No place like Rocky City in Tanzania.
Mtoa mada kama una cash katumie Mwanza si Arushag
Najua watu wa Arusha watanipinga lakini kama umekuwa mwendaji wa Mwanza hasa toka 2008-sasa. Mwanza is best and still goes on.
Hata kwa usafi ni Mwanza au Moshi.
Naachia keypad za simu.
Yeah mkuu Dar es salaam ndo penyewe.Duuh,mbona gap kubwa hivyo?
Hiyo sijui.Nahisi bado bado!Dodoma vipi mkuu
Kweli Dar ndo inaibeba Tanzania, yaan wilaya moja moja tu kama ilala,kino na Temeke imeipita mwanza mbali mno ..hiyo kariakoo inaizidi Tanga Mara 2 au tuseme inalingana na mwanza nzima,yaan mikoa kama kigoma nadhani inalingana na tabata kisukuru tu...yaan hata tandale haifikii
Ile kambi ya FFU inaitwa Njuki acha ubishi usio na maana.Unataka kusema kile kiwanda hakuna nyumba karibu.Inaelekea unaongelea kitu usichokijua vizuri.Unakumbuka mwanzoni kile kilikuwa kiwanda cha niniSio Njuki ni Manguanjuki.
alivyokipiga faini kilikuwa kinatiririsha maji kwenda makazi ya watu ya wapi?
Hapo ni kwa scale zote acha porojo za kisiasa mkuu,cherehani na workshop za kuchomelea mageti sio viwanda vinavyozungumziwa hapaViwanda vina makundi, Heavy manufacturing industry, medium scale industry na small scale industry. Ukisema Heavy industry ya kwanza ni DSM ya pili Arusha ya Tatu Kagera kwa mujibu wa NBS report 2015 page 20.
View attachment 1495448
http://esrf.or.tz/docs/MwanzaRegionInvestementGuide.pdf
Mwanza ni ya 7 kwa per capita income nyuma ya Arusha,mbeya no.2..endelea kuuliza huo mji wa pwani unakopatikanaHuo mji wa pwani unapatikana?
Mkuu bado una wenge la covid 19 naona unahangaika sana,nawa maji tiririka covid bado ipo ,toka umepona umeanza ***** *****,,Unachafua uzi huu,ukitaka hayo turudi kwenye uzi wangu wa Njombe vs KahamaShida ya huyo alikuja Mwanza hakukuta watu wafupi kama kwao Mafinga ikawa tabu akapachukia daima
Kubebwa kwa lipi? umeona kuna mall ya serikali arusha kama mwanza?,kuna nssf hotel ya serikali Arusha kama mwanza?,mbona mwanza saizi ndio inabebwa na serikali kwa kupendelewa tuu? maneno ya mkosaji..Mwanza mnaongoza kwa idadi ya maskini tu sidhani kama kuna kingineIn fact, Arusha imebebwa na serikali..
Zisingekuwa huruma za serikali kujenga kwa ajili, Arusha ingekuwa hoi taaban...
Tofauti na Mwanza, maendeleo ya Mwanza ni makubwa na ni nguvu za wananchi.
Isingekuwa serikali kuwekeza Arusha sababu ya utalii, Arusha ingezidiwa na Kahama
Arusha ni ya 7 mbeya ni ya 4 kwa GDP nyuma ya Mwanza, Shinyanga na Dar.Mwanza ni ya 7 kwa per capita income nyuma ya Arusha,mbeya no.2..endelea kuuliza huo mji wa pwani unakopatikana
Nakafahamu sana haka kabena kwa ubishi, kenyewe kako against chochote kizuri cha Mwanza, sijui kalifanywagwa nini ndan ya Rocky CityHuyo mtu mfupi ana matatizo
Amazing skyline..Siku mwanza wakipata barabara kama hiyo mni tag
Wangekuwa wanawaacha maskini kama unavyosema wewe basi Mwanza ingekuwa mbele ya Arusha kwa per capita na maendeleo.Maendeleo yapi mnayazungumzia nyie,kwa takwimu zipi?Arusha Kuna mahala imekwama
Mwanza wa miliki wote wa mabus Ni wakazi wa mwanza
. viwanda mwanza vingi Ni vya wazawa
Bandari
Samaki iningiza pesa nyingi
Kuliko north circth parks
Magari makubwa njiaani kutoka dar zaidi ya nusu Yana let's mzigo mwanza
Migodi Ming na inayo zalisha IPO Kanda ya ziwa
Madactari bingwa kutoa dar wapo mwanza
.Arusha Ina watalii wanapita tu lkn wana waacha maskini
Pesa nyingi inaenda serikali Ni
Kulipia gate passes
Mahotel mengi ya kwenye hifadhi wa miliki Ni watu wanje.
Kifupi mwanza IPO juu
Mkandalasi yuko site ujenzi wa daraja la busisi unaendelea, siku haka kabena ka ChoiceVariable kakipita pale katazimia kwa kuumia roho.Mwanza is the best ndio maana iko rated as the second largest city after Dar!
.
sasa hivi Mv Victoria imeanza safari kuna ports za kibabe sanaaa, barabara za njia sita pale town (sina hakika kama zimekamilika tayari) mliopo Tz mtanisaidia ila warefu tu wafupi sitaki.
.
Barabara za mawe zile all over Nyegezi, Kishiri, Butimba, Mahina na mji sasa hivi unazidi kutambaa Buhongwa umeshapita unaelekea Usagara by 2030 usishangae Misungwi ikajumuishwa kuwa moja ya manispaa za jiji la Mwanza hapo ndo patakuwa pakubwa zaidi