Ayeeee [emoji23][emoji23]Kwa washamba wavaa shanga huko nani aweke makao makuu ya EAC? watu wengi kama zizini lakini maskini watupu ndo kuwe makao makuu? Mji umepauka uko na mandhari ya hovyo hivyo na maskini wamerundikana kwenye vilima vyenu vinatia kinyaa tuu
Baada ya kupigwa chini na Arusha na Dom saizi kisingizio ni eti serikali,mbona kuna miradi mingi sana ya serikali huko hamsemi?
10 km from city centre mwanzaKwa washamba wavaa shanga huko nani aweke makao makuu ya EAC? watu wengi kama zizini lakini maskini watupu ndo kuwe makao makuu? Mji umepauka uko na mandhari ya hovyo hivyo na maskini wamerundikana kwenye vilima vyenu vinatia kinyaa tuu
Baada ya kupigwa chini na Arusha na Dom saizi kisingizio ni eti serikali,mbona kuna miradi mingi sana ya serikali huko hamsemi?
Mandhari plus maji matamuHii render ni mbaya kama tu ya Arusha, na haiwezi hata kusogea kwa ile structure ya BOT Mbeya
Anasema mji wa mwanza umejaa maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
The city of mwanzaMwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Look at the biggest mall in tz found in mwanza.Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Mwanza south port in igogo biggest port in lake regionMwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Nani kasema mwanza hakuna villas?Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Look at kirumba .NB 4km from city centreMwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
We have two cities in tz Dar and mwanza vingine utopolo tuMwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Huyo binadamu tutamtokomeza kabisa na tabia zake za kuidharau mwanza na kanda ya ziwa Yote.Wakuu, sasa mnaua mende kwa nyundo, na bado ChoiceVariable atapinga tu, si mnajua vimtu vifupi vibena kwa ubishi havijambo!
Usitegemee atatubu hadharani hapa huyo emolo, anadis hapa ila kimoyomoyo anakubali.Huyo binadamu tutamtokomeza kabisa na tabia zake za kuidharau mwanza na kanda ya ziwa Yote.
Nipe muda Tu. Atatubu[emoji23]
Ubishi closedCase closed,Mwanza ipo juu.
nimefatilia mjadala kwa umakini mkubwa nimegundua points za ubora wa uchumi,miundo mbinu,mzunguko mkubwa kwa majiji haya mawili,Mwanza imemkalisha Chuga 1fs round kwa K.O.
Arusha pamoja na kusaidiwa na watu wa Mbeya na Dar wameshindwa kuleta fact za maana kuitetea Chuga.
haiwzekani kamwe kumlinganisha Tembo na Chura.
Au sioTunaleta uzi wa Arusha na Mbeya, usitie mguu. Kiazi weweee π π π
Sawa sawaYaaasss, mpaka apatikane wa mwisho, mpaka sasa tunajua 1. DSM, 2. ROCK city. Mbeya akimalizana na Arusha tunampambanisha na SHINYANGA π π π
Separate Arusha na manyaraweka data bila porojo,Hizo data nataka nione ziko Geita separate na Mwanza separate,nione Shinyanga separate na simiyu separate,Iringa separate na Njombe separate..otherwise watabe ni Dar,Mbeya na Arusha wengine ndio mnafuata
mtu mfupi haamin macho yake yan πππ ana chuki binafis na kanda ya ziwa ,kakadhania umaskin umaskn wakat ndo hali halisi ya watz kote nchinYaaasss, mpaka apatikane wa mwisho, mpaka sasa tunajua 1. DSM, 2. ROCK city. Mbeya akimalizana na Arusha tunampambanisha na SHINYANGA π π π
hahaa inaonekana kaenda kuandaa jeshiNilikutana nae kwenye uzi wa Kahama V/S NJOMBE + MAFINGA, tukamchapa.