Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

sema jiji la pili kwa ukubwa wa umaskini Tzn ni Mwanza,mambo ya kubishana na dunia ndio nini
Wewe jamaa sio mzima kichwani!

Helafu nilichokigundua ni kuwa kweli wewe ni mtu mfupi sana kama jamaa hapo juu wanaposema!

Ngoja nkusaidie unaposema Mwanza ni kuchafu huelewi mambo yanavyoenda kwa taarifa yako Mwanza ndo jiji linaloongoza kwa usafi Tz miaka nenda miaka rudi utabisha na hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka kufikia hapa huyu jamaa ni wa kubezwa yaani kiufupi ni Mpuuzi tu maana hajui hata Mwanza City ime-contain eneo lipi na lipi.
 
mwanza kumejaa maskini saaana,sawa mimi ni mfupi saaaana ,sasa mimi mfupi wewe mrefu haya niambie umenufaikaje na urefu nwako na ufupi wangu,pili mimi nimepata hasara gani kwa ufupi wangu na urefu wako?
Nasisitiza huko mwanza mumelundikana maskini washamba sana,akili zenu zimepauka kwa kushindia michembe na mapanki ya sangara
 
Green gold utaiona endelea kufungua ma box,zingne ziko branded kama made in Kenya but ni kutoka Njombe na Rungwe,for sure zaidi ziko China, huko kwenu mnakobaguliwa kama mbwa pengine hamna pesa za ku afford kuzinunua mnaishia kuimba black lives matter ili muhurumiwe but sio miaka mingi utaanza kuziona pia
 
Nimeishi Arusha miaka7,nimeishi pia Mwanza-Arusha huwez ilingansha na Mwanza sema watu wake ndio huwa wanajtaidi kupambania Arusha nayo ionekane kama niJiji zuri lakn Arusha ata kwambeya Bado naweza mpa mbeya sifa,wenye kumbukumbu nazani mnakumbuka Arusha imetangazwa jiji mwaka2012 tena jakaya ndio alienda kuzndua ikiwemo pamoja na barabara ya Arusha to babati,wakati huwa Mwanza niJiji toka mwaka1999,Yan marehemu mkapa akiwa namiaka4 tu kwenye urais wake....ukwel uliopo ni maisha ya Arusha kuwa galama tu kwakua kampun nyng zautalii zpo kule,lakn kiuzur nakimuonekano huwez lingnsha na Mwanza,kwauchafu Arusha chafu Sana kulko majiji yote,Arusha haina stend,Arusha kiwanja chandege wanantegemea KIA,eneo Arusha wanalojisfu nalo kwa uzur ninjiro tu.Jaman achen kufanansha Mwanza navtu vyakijinga.....Arusha akapambane na Dodoma,mbeya,Tanga.sio Mwanza ile ndio center yakwel kwa Africa masharik maana ndio sehemu pekee kuluka kwandege kwenye nchi yoyote ya Africa mashariki unatumia saa1.......Watu wachuga muwe mnakubali ndugu zangu sio kla jambo kutaka muonekane ninyiny tu
 
 
Mada za kitotoooooooo!!! Hivi kama hamuwezi anzisha mada za maana kausheni kama mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…