mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Hapo unakimbiza na upepo, sometimes biashara haipo complicated kama ulivyoorodhesha mambo kibao hapo. Biashara ni timing ikiambatana na uzoefu, customer care na factors nyingine bila kusahau bahati. Waweza kuanzisha biashara miji midogo Kama Mpwapwa, Sengerema, Lindi, Korogwe etc
Tena kwa capital ndogo na ukateka mji na ukapiga ela balaa. Na waweza kuwa na mtaji mkubwa ukaanzisha biashara Arusha, Mwanza au Dar baada ya miezi sita ukaifunga na mtaji ukapotea. Ukiona mtu anabishana Arusha na Mwanza wapi zaidi kibiashara ujue hajawahi kufanya biashara yoyote duniani.
Kwa biashara nyingi ni mwanza,ila arusha kuna biashara ya madini ya Vito/Gemstone (Tanzanite na Ruby) + UtaliiNaelewa tumebishana sana kuhusu haya majiji recently.
Lakini kwa sasa tuondoe ushabiki, sympathy na mapenzi binafsi. Tutumie experience ya kuwepo katika majiji haya, ujuaji halisia wa haya majiji na data zinazotolewa na mashirika ya uhakika.
Leo naomba tuangalie haya majiji jinsi yanavyo offer katika sector za:
1:Biashara
-reja reja, whole sale, export, import, online, etc
2: Uchumi
-viwanda vidogo, viwanda vikubwa, ajira, ukulima, utalii, fishing etc
3: Ujasiriamali
-innovation, ubunifu,
So naomba tucompare haya majiji kutokana na vipengele vifuatavyo:
1: BIASHARA
-Urahisi wa kufanya biashara ya aina yoyote.
-Mzunguko mkubwa na wa kasi wa pesa unaopelekea urahisi wa upatikanaji mapato katika biashara.
2: UCHUMI
-Miundo mbinu mizuri inayosaidia urahisi wa shughuli za kiuchumi.
-Soko imara na la uhakika kwa ajili ya bidhaa zinazosalishwa viwandani, kuuzwa madukani au kuundwa na wajasiriamali
3: UJASIRIAMALI
-Urahisi wa kuanzisha "start up", kuitambulisha na kufanikiwa.
-Urahisi wa kujiajiri kwa ubunifu wa kipekee, kukubalika na ubunifu wako na kupata soko kirahisi.
KARIBUNI!
Well saidKwa biashara nyingi ni mwanza,ila arusha kuna biashara ya madini ya Vito/Gemstone (Tanzanite na Ruby) + Utalii
Mwanza
Mazao ya uvuvi
Kilimo
Madini(Gold)
Viwanda
Population
Usalama
Biashara Arusha ni ngumu mji umetekwa na makabila yenye ubinafsi, roho mbaya na kujuana kama Wachaga, Wapare, Wamasai ( waarusha) Arusha watu wanaitana kwa makabila utasikia mama ana mwambia mwanae nenda Dukani kwa Mparee hapo ujue huyo mpare ana muungisha mwenzake, kama biashara ni ya mchaga wa marangu basi watu wa Marangu watamiminika hapo Kiufupi Arusha ule mji nikama mji wa Moshi mgeni kutoka mikoa mingine kutoboa kwenye biashara ni ngumu, ukiwa Mwanza kila mtu na hamsini zakeNaelewa tumebishana sana kuhusu haya majiji recently.
Lakini kwa sasa tuondoe ushabiki, sympathy na mapenzi binafsi. Tutumie experience ya kuwepo katika majiji haya, ujuaji halisia wa haya majiji na data zinazotolewa na mashirika ya uhakika.
Leo naomba tuangalie haya majiji jinsi yanavyo offer katika sector za:
1:Biashara
-reja reja, whole sale, export, import, online, etc
2: Uchumi
-viwanda vidogo, viwanda vikubwa, ajira, ukulima, utalii, fishing etc
3: Ujasiriamali
-innovation, ubunifu,
So naomba tucompare haya majiji kutokana na vipengele vifuatavyo:
1: BIASHARA
-Urahisi wa kufanya biashara ya aina yoyote.
-Mzunguko mkubwa na wa kasi wa pesa unaopelekea urahisi wa upatikanaji mapato katika biashara.
2: UCHUMI
-Miundo mbinu mizuri inayosaidia urahisi wa shughuli za kiuchumi.
-Soko imara na la uhakika kwa ajili ya bidhaa zinazosalishwa viwandani, kuuzwa madukani au kuundwa na wajasiriamali
3: UJASIRIAMALI
-Urahisi wa kuanzisha "start up", kuitambulisha na kufanikiwa.
-Urahisi wa kujiajiri kwa ubunifu wa kipekee, kukubalika na ubunifu wako na kupata soko kirahisi.
KARIBUNI!
Baelezee baelezeeLeo msafara uliobeba mwili wa aliyekuwa Rais wa JMT marehemu JPM umekatiza katikati ya jiji la Mwanza
Mmeona mandari ya jiji la Mwanza, ziwa victoria, wingi wa watu na uzuri wote wa Mwanza
Wa kufananisha Mwanza na vi-jiji vingine kama vi-Arusha endeleeni kufananisha vi-sehemu vyenu na jiji la Mwanza sasa
R.I.P JPM
Mpaga bhanye geteBaelezee baelezee
Dsm siyo jiji,Ilala ndiyo jiji.Jiji DSM nyengine zote takataka
Arusha ka jiji kama kiberiti .ukitoka town kidogo tu una kutana na mashamba ya ndiziii.Leo msafara uliobeba mwili wa aliyekuwa Rais wa JMT marehemu JPM umekatiza katikati ya jiji la Mwanza