Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Poor thinking capacity...yaaani watu wanaomboleza msiba wa raisi alafu ndio useme Kuna watu...mji umepoa Sana kulinganisha Na Arusha tembea mzee usijifungie huko ziwani
 
Hivi nyie kila Siku jiji la mwanza vs jiji LA arusha!! Kwani ukipata tofauti zake utanenepa? Au maisha yataboreka? Eti viwanda vikubwa! Viwanda vikubwa niliviona ulaya hii nchi Changa isiyo na teknolojia yake hayo unayoyataka hapa hayapo! Unaona nchi hata vijiti vya vya meno/nyuzi za kushonea nguo inaagiza unauliza viwanda vikubwa nk! Ebu usituchoshe hili ni jukwaa la watu wanaotumia akili kufikiri kabla ya kupost pumba2 ilimradi umeonekana! Sitegemei kuona tena Uzi wa kitoto kama huu tena ebo!
 

Mwenyewe umejikakamua kuandika ujinga basi unavyojimwambafai
Sio lazima kila kilichomo humu uchangie ukiona halikufai jambo kaa pembeni na pia kutokea kwako songea kisiwe kigezo cha kutupangia namna ya kujadili majiji yetu yaliyojengwa na wazawa halisi
 
We jamaa mi ni wa arusha we itakua ni wa mwanza lakini nnependa sana ulivomjibu huyo jamaa..tusipangiane cha kupost bhana๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ ni sawa na kulazimisha mashabiki wa simba na yanga waache kutaniana..watu wa arusha na mwanza sio maadui ila ni watani na hii utaikuta kote duniani mfano..nakuru vs kisumu, nairobi vs mombasa, liverpool vs manchester n.k
 
Mwanza ndio jiji pekee ambalo mtu anaweza akatokea na bado akawa mshamba kupindukia
Kwanza hajui vitu zero exposure, Ni rahisi kuwaingiza kingi
We jamaa kunywa soda ntalipa ...inabidi watu wa mwanza waje arusha tuwaoneshe miji inavokua..usisahau kuwaambia wasije na yeboyebo + baiskel za phoenix๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Asee, wewe unaishi wapi?
Unavyosema population arusha ni kubwa sijakuelewa unazungumzia arusha ya nchi gani ๐Ÿ˜ฒ?.

Latest updates ya mwaka jana haikuzidi 500,000 ambapo Mwanza ilikuwa inakimbilia 1,200,000mil
Basi ulivoanza kuandika nikajua ni kitu cha maana...kumbe hujui hata population density maana yake ni nini??
Wewe umetoka ziwani sehemu gani mkuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ we fuatilia data za sato na sangara tu kuhusu population tuachie wenye ujuzi
 
Basi ulivoanza kuandika nikajua ni kitu cha maana...kumbe hujui hata population density maana yake ni nini??
Wewe umetoka ziwani sehemu gani mkuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ we fuatilia data za sato na sangara tu kuhusu population tuachie wenye ujuzi
Umejibu kifashist sana, hata hivyo huelewi kitu na pole maana umevamia kwa jazba ni kawaida ya Yankee wa aina yako๐Ÿšฎ.

Although sipo kukupa elimu kama uliikosa shule walaumu wazazi wako.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Sangara na sato is one of the best stew around globe, and it maintain body vitamin as calcium from fish bones also zinc and fish can gain brain where you make soups.

Karibu Lake Zone.
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Naona umebadili Mada Sasa tuongelee sato Na sangara
Nlijua tu boss huku ndo kwenye fani yako hasaaa
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Naona umebadili Mada Sasa tuongelee sato Na sangara
Nlijua tu boss huku ndo kwenye fani yako hasaaa
For your low thinking capacity now let's get real database, usilete ujuaji kumbe ni ๐Ÿšฎ from zero ๐Ÿ˜.
Anza na hii ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Baada ya kutoa ujinga โ˜๐Ÿพnjoo hapa chini ujifunze na kuwasaidia wadogo zako population density can work from city to city ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ